Namtafuta mwanaume atakayekuwa tayari kumuoa dada yangu

Kwa waislamu kaka kumtafutia dada mme ni halali kweli mkuu au mimi ndio sielewi
Kwani ubaya uko wapi?. Yale mliyokariri zamani yanabadirika. Katumia vizuri nafasi yake na kawasirisha kwa utulivu sana. Hongera sana Ami.
Mambo yamebadirika sana. Soon mapdree wataanza kuoa na wachungaji wataruhusiwa kuoa hata wawili. Miaka 20 mbele itakuwa ni lazima na sheria kila mwanaume wake wawili. Ksbb Kwanza wanawake ni wengi,pili wanaume wanapungua,wengine wameingia kwa wanawake sijui wanakimbia mizinga
 
Sasa kwa nini umtafutir wewe, yeye hawezi kutafuta. Halafu hayo mavazi yake duuuuu
 
Mimi sikufai. Ni kijogoo.Nina wanne na bado natamani kuongeza isingekuwa ukomo wa 4.Lakini sijawahi kupenda kujaribu kwa mashoga.Kama ungekuwa wewe ni shoga ukanipenda basi ningekukimbia.
nikajua ni mstahamilivu, sheikh mbona unaharibu uzi tena
 
Mwambie aache zile tabia zilizomfanya aachike la sivyo hata ukitumia nguvu kiasi gani kumtafuta mwenza ataachika tena kama habadilishi tabia, na angalieni mfumo wa malezi katika nyumba yenu matokeo ya kudekeza, na kufundiaha vitu au tamaduni za hovyo ndio matokeo yake ukubwani
 
Mume wa kwanza yuko wapi nimuulize tabia ya uyu aliekuwa mke wake
Hiyo haijawahi kutokea. Utamjua ukishamuoa kwa sababu atakuja kuchukua mwanawe.Pamoja na hivyo mambo ya ndoa hayahojiwi hivyo. Utaona mambo mazuri ambayo huyo wa mwanzo pengine kwa upuuzi wake wala hakuweza kuyaona.
 
Hii picha mbona ni kitambo ipo mitandaoni[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…