Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

Status
Not open for further replies.
Unavyosaidia kuconnect siku ys siki utasaidia kushika mguu?? nijue kwanza kabla sijaunga mkono juhudi
 
Umemaliza mtani wangu
Huyo kashakandwa sana na vibiriti ngoma wenzie
You’re so pathetic and arrogant woman! Hata mungu analijua hili sio makosa yako, Hiyo ni roho chafu na yenye ukaidi inakusumbua
 
Hebu pita kushoto kwanza
Siku hizi kutafuta mwenza kwenye mitandao siyo jambo la ajabu. Infact mimi huwa nadhani ndiyo njia pekee ya kupata watu ambao wako serious. Japo mtu unatakiwa uwe na tahadhari sana sana kwa sababu mwanzoni wanakuja watu wengi wenye nia ''ovu'' lakini unaweza kuwachuja. Kikwazo kingine ni kuwa kuna watu, hasa wanaume wana tabia ya 'kuumba'' mwanamke kwa kutumia kigezo cha maandishi yake hapa. Yaani mtu anajenga sura fulani just kwa kutumia swaga za mwanadada, jinsi anavyochangia post hapa. Na wengi huwa na kawaida ya kuweka high expectections, kuwa huyu lazima awe mzuri sana na mwenye uwezo. Mimi nadhani mke au mume mtarajiwa unaweza kumjenga na kumfanya awe utakavyo mradi tu mmependana. TAHADHARI. usipende kuvutiwa na sura kwanza au mali. Jali kilichomo ndani yake na how potential she/has...
 
Bro umeongea vizuri sana sana
 
No plz, usifike huku haitakusaidia.

Hebu rudi nyumbani upesi plz plz.
Mambo haya ya matusi hana afya
 
U nailed it
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…