Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaSiwezi kumlinda wala kumuamulia muoaji au atajaejitokeza hayo watajuana wenyewe..
Ni rfk yangu kweli nampenda ila kwny ishu sensitive kama mahusiano ni wao wa2 so naelezea yale nayoyajua..
Samahani mkuu, amesomea degree ya programe gani, chuo kipi ? GPA yake ilikuwa ni ngapi ?
Watu wana mambo sana hahahahah
Hapo nakwambia lazima nitoke na ushindi naikitokea nikawa siko hewani usisahau kunitag mkuu
SIKATAI NDOA[emoji16]
Live[emoji38][emoji38]Sana mkuu!
You’re so pathetic and arrogant woman! Hata mungu analijua hili sio makosa yako, Hiyo ni roho chafu na yenye ukaidi inakusumbuaUmemaliza mtani wangu
Huyo kashakandwa sana na vibiriti ngoma wenzie
Nilikuwa nascreenshot uzi nikutumieKila laheri mkuu.
Utapata chaguo la moyo wako
Siku hizi kutafuta mwenza kwenye mitandao siyo jambo la ajabu. Infact mimi huwa nadhani ndiyo njia pekee ya kupata watu ambao wako serious. Japo mtu unatakiwa uwe na tahadhari sana sana kwa sababu mwanzoni wanakuja watu wengi wenye nia ''ovu'' lakini unaweza kuwachuja. Kikwazo kingine ni kuwa kuna watu, hasa wanaume wana tabia ya 'kuumba'' mwanamke kwa kutumia kigezo cha maandishi yake hapa. Yaani mtu anajenga sura fulani just kwa kutumia swaga za mwanadada, jinsi anavyochangia post hapa. Na wengi huwa na kawaida ya kuweka high expectections, kuwa huyu lazima awe mzuri sana na mwenye uwezo. Mimi nadhani mke au mume mtarajiwa unaweza kumjenga na kumfanya awe utakavyo mradi tu mmependana. TAHADHARI. usipende kuvutiwa na sura kwanza au mali. Jali kilichomo ndani yake na how potential she/has...Hebu pita kushoto kwanza
Bro umeongea vizuri sana sanaSiku hizi kutafuta mwenza kwenye mitandao siyo jambo la ajabu. Infact mimi huwa nadhani ndiyo njia pekee ya kupata watu ambao wako serious. Japo mtu unatakiwa uwe na tahadhari sana sana kwa sababu mwanzoni wanakuja watu wengi wenye nia ''ovu'' lakini unaweza kuwachuja. Kikwazo kingine ni kuwa kuna watu, hasa wanaume wana tabia ya 'kuumba'' mwanamke kwa kutumia kigezo cha maandishi yake hapa. Yaani mtu anajenga sura fulani just kwa kutumia swaga za mwanadada, jinsi anavyochangia post hapa. Na wengi huwa na kawaida ya kuweka high expectections, kuwa huyu lazima awe mzuri sana na mwenye uwezo. Mimi nadhani mke au mume mtarajiwa unaweza kumjenga na kumfanya awe utakavyo mradi tu mmependana. TAHADHARI. usipende kuvutiwa na sura kwanza au mali. Jali kilichomo ndani yake na how potential she/has...
FactAisee kwa hiyo huko mtaani Kazini hakuna kabisa wanaomtaka
No plz, usifike huku haitakusaidia.Msenge tuu wewe...nakwambia ww kwangu ww ni msenge na haitabadilika...sitakaa kukusujudu ww uliekosa akili nilikwambia pale juu utasema yote..ila ww ni kibiriti ngoma wa kiume..nitakutusi vile unaleta matusi yani nakwambia hivi ni tit fo tat..Usitaje jina la Mungu kwny huo mdomo wako unaonuka k vant...
Ukaidi wangu ni kwa watu kama wewe punga zeze...
U nailed itSiku hizi kutafuta mwenza kwenye mitandao siyo jambo la ajabu. Infact mimi huwa nadhani ndiyo njia pekee ya kupata watu ambao wako serious. Japo mtu unatakiwa uwe na tahadhari sana sana kwa sababu mwanzoni wanakuja watu wengi wenye nia ''ovu'' lakini unaweza kuwachuja. Kikwazo kingine ni kuwa kuna watu, hasa wanaume wana tabia ya 'kuumba'' mwanamke kwa kutumia kigezo cha maandishi yake hapa. Yaani mtu anajenga sura fulani just kwa kutumia swaga za mwanadada, jinsi anavyochangia post hapa. Na wengi huwa na kawaida ya kuweka high expectections, kuwa huyu lazima awe mzuri sana na mwenye uwezo. Mimi nadhani mke au mume mtarajiwa unaweza kumjenga na kumfanya awe utakavyo mradi tu mmependana. TAHADHARI. usipende kuvutiwa na sura kwanza au mali. Jali kilichomo ndani yake na how potential she/has...
Kampuni yetu😂Subiri niandae essay la kufa mtu la kujielezea kwanini ni suitable candidate wa kuwa mwenza wake wa ndoa. Nitaelezea jinsi gani nitachangia kimawazo kuendeleza kampuni yetu, kuipeleka kimataifa.
si tunakuwa mwili mmoja. Chake chetu. Mimi sina kampuni ila nina ma idea kibao😀😀Kampuni yetu😂