Namtafutia mwanangu nafasi ya shule ya serikali form one 2025

Nipe option za Shule unazotaka Mkuu, tuanze kupambania kombe
 
nitafte 0762053934
 
Rushwa kizazi hadi kizazi, Tz taifa lililopotea!
 
Msichokijua ni kuwa nafasi ya kwenda shule za bweni hutolewa kihalmashauri mgawo sawa au kuzidi kidogo katika baadhi ya halmashauri nafasi zikitosha waliobaki wanapelekwa kata despite ufaulu wao mkubwa halmashauri zingine zina ufaulu wa chini inapelekea wanachukuliwa wenye A za chini (sababu ndiyo walioongoza ) huku Kwetu kuna wanafunzi wanachukuliwa hadi msalato na wana A 4 madaba mwaka jana kuna dogo alienda msalato na ana wastani wa B na ana A moja siku nyingine msomeshe mwanao kwenye halmashauri zenye wajinga wengi 😆
 
Haina form one hadi four mkuu
Ilikuwa form one hadi form six. Wamebadilisha? Lini? Ni muda kidogo umepita tangu tulimpeleka kijana wa rafiki yangu pale Tosamaganga Secondary School.

Ni bonge moja la shule ya boarding ya wavulana tu
 
Hili ni neno kuu. Alishike vizuri. Tofauti na hapo hizo shule zitakuwa zinajaa watu wa shule za miji.
 
Fuatilia KAMWALA SEC ipo mwanga kilimanjaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…