Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Asante sana kwa ushauri na maelezo, swali langu lipo hapo kwenye kumilikiwa na mtu kiroho.

Namilikiwa kivipi wakati mimi siishi kwenye huo Ulimwengu wa kiroho?? Naomba nifafanulie kwa kina hapo mkuu..!!
 
Aaaiiii nimecheka sana, Hii ndio tunaita women in Men’s field?

Mate punguza kutafuta hela, tatizo linaanzia hapa 😅
 
Aaaiiii nimecheka sana, Hii ndio tunaita women in Men’s field?

Mate punguza kutafuta hela, tatizo linaanzia hapa 😅
😹😹😹 Mate pesa siachi kutafuta hawa viumbe wana midomo ukiwa beggars.!!

Sema kuwachezea raha, yani wanateseka sana..!!
Mara nikuoe, km hutaki nikuoe basi tuzae..!! 🤣
 
Case closed.

Asubiri anaempenda


Lamomy
 
😹😹😹 Mate pesa siachi kutafuta hawa viumbe wana midomo ukiwa beggars.!!

Sema kuwachezea raha, yani wanateseka sana..!!
Mara nikuoe, km hutaki nikuoe basi tuzae..!! 🤣
Hahahahah Raha yako kumchezea mwanaume.

Hivi Karma IPO? Kweli... If it's there time yako itafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…