Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia


Sijui utakuwa na shida gani lakini kama una uhakika unampenda usiwe unamwambia kauli za kwamba humtaki

Yeye pia ni binadamu, siku akichoka akaamua kukuacha ama akaamua kuishi kama unavyotaka(Intimacy with no string attached) nakuhakikishia utaumia na kuteseka
 
Naonaa udugu chibaba wako anakumudu ktk mzagamuo, ndo maana huwezi ku move on.

Baki na yeye ambadela, ambadela
Baki na yeye πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sio kivilee 😹😹😹

Halafu huwa ananiuliza km nimeenjoy kiukweli nakosa majibu ya kumpa…!!
Kuna ukatuni mmoja nilimfanyia akanishangaa sana..!! 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…