Namtumbo: Wazazi waacha kupeleka Watoto Shuleni wakiaminishwa Yesu Kristo anakaribia kurudi

Namtumbo: Wazazi waacha kupeleka Watoto Shuleni wakiaminishwa Yesu Kristo anakaribia kurudi

hii ndio duniani ya uongo na maisha ya uongo ukiwa na njaa tu unatafuta ka uhuni flani unakula 7bu kila kitu ni uongo dini uongo, mapenzi uongo, wachungaji uongo, viongozi uongo, marafiki uongo, mpaka kuishi ni uongo nani hapo mkweli sasa😂😂
 
Uongo wako ukifikia kusababisha jinai lazima kikurambe.
 
Alijitambua kuwa atafeli masomo ya chuo kikuu ndio maana akaingia kwenye huo "unafiki ". Dini ni biashara za wajanja wanaojua kucheza mchezo wa maisha. Mwenye upeo mdogo wa kufikiri ndiye anaenaswa. Ulimwengu wa tatu haya mambo yapo sana.
 
Kwani sio huyu?
 
Attachments

  • FB_IMG_16537609783606502.jpg
    FB_IMG_16537609783606502.jpg
    26.6 KB · Views: 3
Back
Top Bottom