mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Una uhakika ni Wangoni???Safi San Erick watapeli hao wangoni wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika ni Wangoni???Safi San Erick watapeli hao wangoni wote
Hahahahaha kumbe ni wasabatoDC Ngollo amesema Erick amefanikiwa kuwarubuni Wazazi mbalimbali ambao ni wa dhehebu la Wasabato Kijijini hapo na wameachisha Watoto wao Shule ili wajiandae kumpokea Yesu ambapo hadi sasa Watoto 13 tayari wameacha kwenda Shul
Hahahahaha mbn umepanicUna uhakika ni Wangoni???
Yaani hapo humwambii kitu, we ona tu kwanza hiyo confidence alivyokua nayoNi shida sana na hapo anajiona yupo sahihi sana.
Hao akili zilishahamia kwenye imani jumla hakuna analolielewa.Yaani hapo humwambii kitu, we ona tu kwanza hiyo confidence alivyokua nayo
Mungu abariki uzao Wangu kwakweli,, Dini ikawe ustaarabu nyumbani kwangu na sio mzigoHao akili zilishahamia kwenye imani jumla hakuna analolielewa.
Amen na iwe hivyo 🙌Mungu abariki uzao Wangu kwakweli,, Dini ikawe ustaarabu nyumbani kwangu na sio mzigo
Uongo wako ukifikia kusababisha jinai lazima kikurambe.hii ndio duniani ya uongo na maisha ya uongo ukiwa na njaa tu unatafuta ka uhuni flani unakula 7bu kila kitu ni uongo dini uongo, mapenzi uongo, wachungaji uongo, viongozi uongo, marafiki uongo, mpaka kuishi ni uongo nani hapo mkweli sasa😂😂
😍😘Amen na iwe hivyo 🙌
Nipo sawa kabisa,piga tena nimemisi sauti yako binti kiziwiThe Icebreaker uko sawa au unaumwa? Namba zako hazipatikani. 🥹
Tayari nilikuwa nshafanya maombi kwa imani yangu, wao wakajiona ndio wako Karibu na Mungu tena wanamshawishi na wife aokoke nikaona huu ujingaJamani we mkuu, hukutaka waikabidhi nyumba yako mikononi mwa bwana😆😃🤒
Hao hatari sasa,, jitahidi tu Uwe na msimamo na wife wasije wakamteka MazimaTayari nilikuwa nshafanya maombi kwa imani yangu, wao wakajiona ndio wako Karibu na Mungu tena wanamshawishi na wife aokoke nikaona huu ujinga