Namuogopa mpenzi wangu nikisikia sauti yake

Hujarogwa wala nini...! Hata wangu nae yuko hivyo hivyo, niligundua hilo hivyo najitahidi kumfanya rafiki ili awe comfortable anapokua na mimi....! Mimi wangu alikuwa hawezi hata kupiga stori na mimi alikua ananiogopa saana, ila sasa ameanza kunizoea
 
[emoji848][emoji848]
 
Bora wewe unaelewa mkuu.
Watu wanakimbilia kufikiria ushirikina tu.
Hata mim naamin woga utaniisha
 
Tatizo mnadate na babu zenu..uhuru utaupata wapi?mtu anakuzidi miaka 30 lazima umuogope😀😀
 
Your in Love tena deeply
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…