Namuogopa mpenzi wangu nikisikia sauti yake

Sasa mwanamke ulitaka uwe na kibesi kwa mwanaume wako ugundue Nini? Kwahiyo kuwa mnyenyekevu unaona kama umelogwa? Huo ndio umwanamke na inaonyesha unampenda kwahiyo ukae kwa kutulia
 
Barikiwa sana kwa ushauri mkuu.
Akijua amekosea huwa anajishusha na anaomba msamaha sema kuna wakati mimi nabaki na dukuduku moyoni sbb yakukosa ujasiri wa kusema yote.Na anapokua mkali naishia kunyamaza na anapomaliza kuongea naogopa kuendelea kuongea then maisha yanasonga
 
Umethibitishaje kama hujalogwa ama hajakuloga...........
Ukijibu kwa usahihi hili swali,nitakufafanuli kitu.
 
Kwenye maisha yako,Kuna mtu alikuwa na saut kama ya dear wako,ulikuwa unamuogopa,inawezekana ni baba,kaka,ndugu,
 
Chagua moja kusuka au kunyuoa! Kwani huyo ni wakwako try to handle him in a difficult situation atakuelewa tu...Acha papara za kuhisi ni mkali sana tambua ni baba ajae kwenye familia yako wekeza upendo wako naamini na yeye ataskia matendo yako pasipo Kelele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…