Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Wajinga na masikini sio watu wa kutetea ni kuwaacha wafeLawama zako bado umezitolea mtandaoni, kweli Lissu Kazi anayo
Wajinga na masikini sio watu wa kutetea ni kuwaacha wafeHuu ni ukweli mchungu
Nenda mahakamani ukamsaidie lissu sio kupiga kelele mtandaoni unafikiri utafanikiwa sahau acha kuwa keyboard warriorLawama zako bado umezitolea mtandaoni, kweli Lissu Kazi anayo.Kama hizo Kelel za mitandaoni zisingekuwa na Matokeo yoyote unadhani Serikali ingefunga upatikanaji wa mitandao hiyo??!!
Mkuu lissu ameshapigwa risasi za kutosha kwenye mwili wake kwanini asilambe asali maana umri wenyewe umeenda Kwa ushauri wangu akale mema ya nchiUna point, japo siungi mkono TL Alambe asali ! Anaowapigania hawajitambui kabisa, anarisk mpaka maisha yake kwa majitu ambayo yapo yapo tu hayajui yanataka nini !
Nikienda mahakamani namsaidiaje? Huu ushauri wako kwanini usingeenda kuupeleka mahakamani?Nenda mahakamani ukamsaidie lissu sio kupiga kelele mtandaoni unafikiri utafanikiwa sahau acha kuwa keyboard warrior
NI UKWELI UNAOKERA ILA NDIO UKWELI KAMA KUNGEKUWA NA UMOJA MPAKA SASA ASINGEKUWA HAPO..Aisee kitu ambacho lissu anashindwa kuelewa tanzania ni sehemu ya wajinga na masikini waliokubali kuishi maisha ya kifukara Sasa jiulize anao watetea Sasa miezi miwili imepita lissu yupo ndani kazi Yao ni kutoa laana mtandaoni yaani kwamba Kila mtu anachimba mkwara nyuma ya keyboard kwamba mwaka huu kitachimbika wakati mda huo lissu analala kwenye gereza la death row Cha kumshauri lissu akitoka gerezani aungane na ccm ale mema ya nchi au aendelee kuishi na wanafki huku Kila mda akiuangalia mlango wa gereza watanzania washalidhika na hayo maisha lissu unajisumbua tu nilidhani unawafuasi wa damu kwamba ulivyokamatwa tu pangechimbika ila walikaa kimya lissu jua kwamba watanzania 100% ni keyboard warrior
Mimi sio mfuasi wa lissu wafuasi wake inabidi mumpiganie Sasa kama mnaishia kuchimba mikwara ya uoga mitandaoni hamna maana Kwa lissu mnakua ni wanafki a.k.a keyboard warriorNikienda mahakamani namsaidiaje? Huu ushauri wako kwanini usingeenda kuupeleka mahakamani?
Muda haumsubiri Mtu Wananchi wanasimama na mapolisi wanaongea nao nakulalamika wamefungiwa kanisa na hata jiwe hawajarusha na mapolis wamekaa na amani eti maandamanoHata mbuyu ulianza kama mchicha, hapo KE ilianza hivyo hivyo. Harakati za ukombozi sio lazima zifanikiwe na alieanzisha (japo inawezekana).
South Africa mfumo wa apertheid ulipingwa na wengi sana. Alikufa Steve Biko, alifungwa Mandela Robbin Island miaka 30, walifukuzwa nchini humo akina Thabo Mbeki lakini in the end walishinda.
Sawa kwa sasa watu unawaona wajinga ila sio ujinga wanavumilia lakini uvumilivu uko na mwisho.
Siku kila mtu akifikiwa na hii oppressive regime lazima kila mtu ata raise up.
NI suala la muda tu
Hamna kitu hapo sio tanzania na haitotokeaHata mbuyu ulianza kama mchicha, hapo KE ilianza hivyo hivyo. Harakati za ukombozi sio lazima zifanikiwe na alieanzisha (japo inawezekana).
South Africa mfumo wa apertheid ulipingwa na wengi sana. Alikufa Steve Biko, alifungwa Mandela Robbin Island miaka 30, walifukuzwa nchini humo akina Thabo Mbeki lakini in the end walishinda.
Sawa kwa sasa watu unawaona wajinga ila sio ujinga wanavumilia lakini uvumilivu uko na mwisho.
Siku kila mtu akifikiwa na hii oppressive regime lazima kila mtu ata raise up.
NI suala la muda tu
Nani ataliandika Sasa keyboard warriorJina lisu litandikwa vizazi na vizazi
Yeye siyo mfuasi wa Lissu, hawezi kumpambania mtu anayemwona mjinga. Wewe mfuasi wa Lissu ndo utoke barabarani ukinukishe kama kweli Lissu anapambania wenye akili.Lawama zako bado umezitolea mtandaoni, kweli Lissu Kazi anayo.Kama hizo Kelel za mitandaoni zisingekuwa na Matokeo yoyote unadhani Serikali ingefunga upatikanaji wa mitandao hiyo??!!
Tatizo ni pale anapotokea rais mzalendo na wapinzani wanafanya kukufuru matokeo yake ndiyo haya yanayo wakuta ....chadema niliwaonya waziwazi hapa jf ...sasa kupambana na upumbavu wa mwanamke ni ngumu sana la wakubali kumwaga damu nyingi kufanya samia azidi kukataliwaAisee kitu ambacho lissu anashindwa kuelewa tanzania ni sehemu ya wajinga na masikini waliokubali kuishi maisha ya kufukara Sasa jiulize anao watetea Sasa mwezi miwili imepita lissu yupo ndani kazi Yao ni kutoa laana mtandaoni yaani kwamba Kila mtu anachimba mkwara nyuma ya keyboard kwamba mwaka huu kitachimbika wakati mda huo lissu analala kwenye gereza la death row Cha kumshauri lissu akitoka gerezani aungane na ccm ale mema ya nchi au aendelee kuishi na wanafki huku Kila mda akiuangalia mlango wa gereza watanzania washalidhika na hayo maisha lissu unajisumbua tu