Nani alianzisha jina la "Daddy" kwa Viongozi wa Kiroho?

Acha wapigwe mazuzu hao,
Ukiwasanua wanakuambia wewe kobazi!
 
Hapo inaitwa reflective meaning. Jina Lina akisi kitu fulani. Ni kama bodaboda wako unavyomuita baby. Baby ni mtoto. Au mtu mbaya anaitwa jitu.
Sasa kuitwa dady, daddy, dadii au baba ni kuonesha upendo wa asili kati ya muita na muitwa.
Kama kuna mengine yanayoendelea nyuma ya pazi katiko huo muitano wao hiyo ni kesi nyingine. Lakini jina kama jina ni kuonesha uwajibikaji wa upendo wa asili kati ya ya hao watu.
 
min -mt: 56247667 said:
Kuna mmoja alinifuata pm eti kaonyeshwa mimi sio binadamu na ata dili na mimi mpaka nirudi kwa baba yangu ibilisi😅
🤣🤣😁🤣
 
Nimeelewa mkuu
Ila unaweza kuleta ukakasi Fulani.

Na hao wanawaita bodaboda wao baby wakina nani?
 
Sema nini unajua kwanini wanaume hawaiti hivyo ila ni wanawake ndio wanaita hivyo? ushaelewa?
 
Sema nini unajua kwanini wanaume hawaiti hivyo ila ni wanawake ndio wanaita hivyo? ushaelewa?
wanawake ni viumbe laini laini hata ktk lugha huchagua lugha laini.
Lugha kama lugha haina shida. Maana hata nyumbani anayeongoza kutumia maneno laini ni watoto wa kike.
Matendo ya hao watu na wachungaji wao hayahusiani na lugha. Hao Wana Nia uvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…