Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

WAhamisha magoli bana; sasa ni kitu gani cha kifahari humo? taa, zuria? meza, apple computer? Sasa kama hii ofisi ni ya kifahari hii hapa utaiita vipi?

Umekwisha wewe huna hoja,hiyo ofisi ya umma sio ya pop star
 
Namuunga mkono Makonda kunadorisha office...office nyingi za umma zinatia aibu chafu na kila kitu cha kizamani...hazina hata motisha wa kufanyia kazi humo
.
Alipata wapi fedha huku akipiga kelele watu wachangie madawati? Hivi ile ofisi ya spika kule urambo inatumika kwa shughuli gani?
 
Complains without statistics (accurate information)... Ndo tabia ya watanzania wengi,,, swali la msingi "unajua zimetumika sh ngapi kufanya huo ukarabati?" ulitaka ofisi iweje labda?
Hizo zako ni fikra za kibinafsi zijazo kwa kubeza matatizo ya wengine ambayo wangeweza tatuliwa kwa hicho ukiitacho kidogo. Ndio maana nimeandika kuwa km pesa ni yake haina shida lkn kama ni ya umma lazima tuwe na priorities. Unaongelea mil tano km hela ndogo, kwa dawati moja la shs 50,000 yangechongwa mangapi? Na watoto wangapi wangepata nafasi ya angalau kukaa na kusoma vizuri? Nadhani ni muda wa kubadili mtazamo na kutomfikiria mwenye mwono tofauti na wewe hatumii statistics au research.
 
Sijui JPM alifikiria nini kumteua huyu mtu.. Katika watu wote akamuona Makonda!!
 
Sijui JPM alifikiria nini kumteua huyu mtu.. Katika watu wote akamuona Makonda!!
Huwa anapiga mapicha na lemtu wakiwa wamevaa mawani meusi...

Na vitisheti vya kubana mikono
 
sasa ofisi ya umma inatakiwa iweje; chafu, haina taa, ina mkeka chini, na vibatari?
Meck Sadick aliacha vibatari?aliacha mkeka?alikua mchafu?ofisi haikuwa na taa?unaonekana una tabia za mike sonko wa kenya
 
Mkuuu upo? Changia vizuri bila mhemko
 
Makonda siyo mtu wa kispoti spoti...anapesa mingi sana...
 
Hahahaha sasa Kamanda Siro hatakiwi anaharibu mipango.
 
Hii offisi ni stahiki ya wadhifa wa Mkuu wa Mkoa hasa mkoa muhimu kama Dar
 
Mheshiwa Rais Magufuli pitia huku tusafishe mchwa labda kama ni kwa msaada wa marekani
 
Namuunga mkono Makonda kunadorisha office...office nyingi za umma zinatia aibu chafu na kila kitu cha kizamani...hazina hata motisha wa kufanyia kazi humo
.
Hahahaaa no moja police wallah ... ngoja nikae kimya lakini mmhh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…