Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

Yaani hamkosi la kusema kungekuwa kubaya pia mngesema sasa ofisi inawahusu nini? Kwani hakuna mafungu ya ukarabati? Tatizo mmezoea kitu kikiwa cha serikali ndio kibaki hovyo.
 
p
Hahahahahaaaaa. Yaani mmemtafuta Makonda mmemkosa. Sasa mnaanza kuwa na wivu na ofisi yake. Imewauma sana kuona Ofisi yake inakuwa na hadhi nzuri kuliko Ofisi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mtaa wa Ufipa licha ya kupokea mamilioni ya fedha za ruzuku
poor thinking capacity
 
zipo wapi picha za ofisi wakati wa bwana Said Meck Sadick ili tufanye ulinganifu???
 
Ukimjua aliyegharamia halafu wewe itakusaidia nini? Kwa mfano akiamua kutumia sehemu ya mshahara wake kwa ajili ya kununua computer au mapambo kuna shida? Acheni hizo.
Yeah Mura Itamsaidia nn Ufatiliaji Sana WA mambo ya watu kwa undani bila sababu rasmi Ni Dalili Tosha za Uchawi.
 
Nifahamishe chini low au chini kitu gani?
Niloposema unataka akae 'chini', sijamaanisha chini sakafuni, ndo maana nimeweka QUOTATION MARKS, nilichomaanisha ni ulitaka akae ofisi isiyo na ubora?
Hapo je!! Hiyo ndo ilikuwa tafsiri yangu ya kuweka neno chini hivi 'chini'.
 
Yeah Mura Itamsaidia nn Ufatiliaji Sana WA mambo ya watu kwa undani bila sababu rasmi Ni Dalili Tosha za Uchawi.
,
Ni kiongozi wa umma,kuupinga ukweli ni dalili za uchawi
 
Matumiz mabaya ya pesa

Atasema kuna watu walijitolea kama mafundi garage wa tegeta walivyojitolea kutengeneza madeski na kukarabati magari mabovu yaliyokuwa yameegeshwa muda mrefu...
 
Niloposema unataka akae 'chini', sijamaanisha chini sakafuni, ndo maana nimeweka QUOTATION MARKS, nilichomaanisha ni ulitaka akae ofisi isiyo na ubora?
Hapo je!! Hiyo ndo ilikuwa tafsiri yangu ya kuweka neno chini hivi 'chini'.
Nimekuelewa! Ama kweli "Hapa Kazi Tu". Umenoti nimeweka quotation marks?
 
Wanabana matumizi kwa wanyonge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…