Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

Hospital ya sinza Palestinian haina x ray inaenda mwezi sasa....mwananyamala nayo imekuja jana.....wagonjwa woote wanakuwa located at magamen hospital
Hayo malalamiko yako peleka wizara ya afya... Kamtafute Dr Kingwa... atakusikiliza
 
Aweke wazi gharama na mkandarasi aliyehusika,kama ni Tanzania building agency tujue
Hilo ndio lingekua swali na sio kuanza kulalamikia uzuriwa ofisi ya mkuu wa mkoa, Wabongo tumekua walalamishi wa kila kitu. Angalia usafiri wa mabasi ya mwendo kasi, siku ya kwanza tu watu wamelalamika, hivi kuna jambo gani jipya linaanzaga na lisiwe na changamoto au matatizo?
 
W
Inaonekana wewe ni mkandalasi wa ofisi hiyo, sikuwezi ndugu,
Mkandalasi vs mkandarasi
 
Kina kuuma nini sasa, kununua kompyuta za apple na mapazia? Wivu mwingine bhana, hiyo ni ofisi ya mkoa, tena wa dar!! Lazima ipambwe kwani mapato yapo ya kutosha. Ukianza kuleta mijadala ya wivu humu hupati cha maana mkuu
 
hii ofisi haizi mili 20 sasa makonda anakosa hizo hela hata za sigususigusu
 
Hahahahahaaaaa. Yaani mmemtafuta Makonda mmemkosa. Sasa mnaanza kuwa na wivu na ofisi yake. Imewauma sana kuona Ofisi yake inakuwa na hadhi nzuri kuliko Ofisi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mtaa wa Ufipa licha ya kupokea mamilioni ya fedha za ruzuku
Umechinjia shingoni mjombaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] wivu mpaka uwatoke, kijana anajing'arisha kulingana na hadhi
 
Anakarabati ofisi au kairemba,, mwanaune anapenda urembo wakati watt wanakaa chini hyo pesa angenununua madawati
Billion 6 za madawati msigwa analalamika, sasa sijui mnataka nini, mkifanyiwa hiki mnabadilika... Hamueleweki yaaan
 
Interior design ovyo kabisa..ni ofisi au furniture shop? hamna mpangilio na kumejaa kama nini japo hela za maana zitakuwa zimetumika kwenye huo ukarabati.
Sema unataka ajira ukapambe na kupangilia sio kuleta mizunguko kibaoooo
 
Mimi sioni kama kuna ukarabati wa kutisha hapo..sana sana ni gypsum tu na hizo taa za led na huo mpangilio wa rangi ndio unawazuzua..
 
Siyo makabati ya bati tumezoea kuona wagonjwa wakilala chini watoto wetu wakikaa chini madarasani wakitumia vyoo visivyosalama kwa afya zao mashuleni barabara mbovu ambazo hazipitiki Na vingine vingi
Bilioni 6 mlitokwa povu eti rais anaingilia bunge hizi za ofisi ya RC ndo unataka zinunue madawati? Mbona vigeugeu sana? Hiyo ni pesa kwa ajili ya uboreshaji wa ofisi sio ya madawati na vyoo, umenielewa
 
Ndio maana nasemaga vijana sio wakombozi wa Taifa hili, akili na tamaa zao zingali juu, wazee hawana makuu maana walishamaliza
 
utadhani ataishi kwenye hiyo ofisi milele.
Wivu mbaya sana, ndio uliomwangusha hata ibilisi kule mbinguni, kubali kuwa ofisi hiyo lazima iwe na hadhi jizuie kutokwa povu bila sababu za msingi, hata akitoka yeye watakuja wengine.
 
Lini jpm alisema kuwa hajapamba ofisi yake tangu atoke jk? Uthibitisho tafadhali ili tuepuke mihemko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…