GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Mdee alifanya la maana sana kupinga udikteta wa Mbowe.Usemi kwamba "adui yako mwombese njaa" una mantiki kubwa sana. Hakuna mbabe wa njaa.
Nani alitarajia kuwa Halima Mdee angepingana na Mwenyekiti wa Chama kilichomlea kisiasa hadi kuwa maarufu kwenye medani za siasa za Tanzania? Alikuwa ni mmoja wa wanachama ambao CHADEMA ilikuwa ikimjivunia kuwa nao. Lakini alipoona mrija wa ulaji wake upo mikononi mwa watawala, ilimlazimu akubali kuwasikiliza wao badala ya Chama kilichomfunza Siasa.
Dr Slaa ana hoja kubwa sana,Wapo wengi ambao hawakutarajiwa kuwa walivyo sasa:
1. Patrobas Katambi
2. Cecil Mwambe
Dr. Wlilibroad Slaa yeye anaweza akawa na hoja, lakini kwa wengine...π
Aisee!Mdee alifanya la maana sana kupinga udikteta wa Mbowe.
Mdee ni shujaaa, mwanamke wa shoka
Njaa ndiyo imemfanya mbowe kuanza kupokea ruzuku inayotokana na wabunge aliowaita haramu
Hamwezi kumshinda "SHETANI" kwa akili zenu wenyewe.Nani alidhani kuwa David Kafulila , aliyewahi kuitwa tumbili baada ya yeye kumwita Waziri mwizi kisa kashfa ya ufisadi aliyoifichua? Lakini baada ya kulala "njaa" kwa muda, aliamua kuomba wimbo wa walioshiba ili na yeye akaribishwe kwenye meza ya wenye chakula, na hatimaye ikawa hivyo. Jitihada zake zilizaa matunda na kufanikiwa kuonja teuzi za Rais.
Shujaa hufanya mambo yake hadharani na siyo gizani.Mdee alifanya mambo yake gizani hivyo hana ushujaa wowote.Mdee alifanya la maana sana kupinga udikteta wa Mbowe.
Mdee ni shujaaa, mwanamke wa shoka
Njaa ndiyo imemfanya mbowe kuanza kupokea ruzuku inayotokana na wabunge aliowaita haramu
Shujaa hufanya mambo yake hadharani na siyo gizani.Mdee alifanya mambo yake gizani hivyo hana ushujaa wowote.Mdee alifanya la maana sana kupinga udikteta wa Mbowe.
Mdee ni shujaaa, mwanamke wa shoka
Njaa ndiyo imemfanya mbowe kuanza kupokea ruzuku inayotokana na wabunge aliowaita haramu
πππUsemi kwamba "adui yako mwombese njaa" una mantiki kubwa sana. Hakuna mbabe wa njaa.
Nani alitarajia kuwa Halima Mdee angepingana na Mwenyekiti wa Chama kilichomlea kisiasa hadi kuwa maarufu kwenye medani za siasa za Tanzania? Alikuwa ni mmoja wa wanachama ambao CHADEMA ilikuwa ikimjivunia kuwa nao.
Lakini alipoona mrija wa ulaji wake upo mikononi mwa watawala, ilimlazimu akubali kuwasikiliza wao badala ya Chama kilichomfunza Siasa.
π€βοΈMdee alifanya la maana sana kupinga udikteta wa Mbowe.
Mdee ni shujaaa, mwanamke wa shoka
Njaa ndiyo imemfanya mbowe kuanza kupokea ruzuku inayotokana na wabunge aliowaita haramu
Mkuu usaliti ni usaliti, hakuna usaliti wa hoja, labda hoja ya usaliti! ni msaliti tu! Tena msaliti kiongozi!Dr Slaa ana hoja kubwa sana,
Chama kilisaliti agend ya mafisadi Hadi kukumbatia mafisadi
Mpaka Leo chadema hajawhi kurudi kwenye viwango aalivyset Dr slaa