GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #41
Waliwezaje kuwa wabunge wa viti maalum bila idhini ya vyama vyao?Hakuna aliyesaliti chama. Ni ugomvi tu wa maokoto!!!
Ndani ya CHADEMA Kuna utaratibu wabunge kuchangia pesa Kila mwezi, usipochangia unaonekana MSALITI.
Mgogoro ni Maokoto tu