Nani alitarajia kina Halima Mdee wangesaliti vyama vyao?

Hakuna aliyesaliti chama. Ni ugomvi tu wa maokoto!!!

Ndani ya CHADEMA Kuna utaratibu wabunge kuchangia pesa Kila mwezi, usipochangia unaonekana MSALITI.

Mgogoro ni Maokoto tu
Waliwezaje kuwa wabunge wa viti maalum bila idhini ya vyama vyao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…