Nani ameiroga Afrika, Zimbabwe imetuma wanamichezo 9 na viongozi 67 Paris kwenye mashindano ya Olympics

MARAIS WETU NA AKILI WAPI NA WAPI
 
Hata samia ushaidi upo ni wa bandari, hifadhi za wanyama, airports zote za Tanzania waarabu wanazimiliki sasa nani bora nyerere au samia kwa maana zamani nakutawalwa na waingereza miaka ya nyerere tulikuwa nakila kitu hakuna udhibitisho wowote
 
Kuna mwaka Tanzania ilipeleka wachezaji 10 na viongozi 20. Ila mwaka huu tumejitahidi. Wameenda wachezaji 7, makocha watatu, maafisa wawili wa TOC, mwanahabari mmoja na mkuu wa msafara.
 
Sijui sisi watu toka hili BARA, tuna SHIDA gani kichwani..AIBU!
watu weusi wamelaanika
"Let us agreed that Blacks cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Hata samia ushaidi upo ni wa bandari, hifadhi za wanyama, airports zote za Tanzania waarabu wanazimiliki sasa nani bora nyerere au samia kwa maana zamani nakutawalwa na waingereza miaka ya nyerere tulikuwa nakila kitu hakuna udhibitisho wowote
Hatujakaa foleni ya chakula wakati wa Samia, tuulize tuliouishi wakati wa Nyerere tulikumbwa na nini?
 
Huenda hao wanaoitwa maafisa ni majasusi! Kwamba wanakusanya taarifa muhimu kusaidia nchi zao (changamsha genge)
 
Kwa hiyo Samia naye nani anamcontrol?
 
Halafu ujinga mkubwa kuliko wote Ni Udini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…