Nani ameiroga Afrika, Zimbabwe imetuma wanamichezo 9 na viongozi 67 Paris kwenye mashindano ya Olympics

Kumbe CCM ni bosheni tu, serikali inaongozwa na mabeberu!
 
Sisi fedha yetu na maliasili zote kashika nani?

Tanzania leo huwezi kuagiza au kununuwa chochote nje bila kutumia fedha za 'kigeni", zetu zimekaa show tu?

Hivi fedha za kigeni zina thamani zaidi ya dhahabu, ardhi, mifugo na madini yetu?

Fikiri.

Ingekuwa hawatutawali kuchumi saa hizi wangekuwa wanatupoigia magoti kwa mali ghafi tulizonazo.

Qalioweka misingi ya nchi hii waliiweka mibovu kwa makusudi kabisa. Tulikuwa tunahitaji watu kama Ibrahim Traore kuanzia uhuru.
 
Kumbe CCM ni bosheni tu, serikali inaongozwa na mabeberu!
hayo yalikuwa wakati wa Nyerere, sasa hivi mabeberu wamtukamata kwenye uchumi, kwa misingi waliyoiweka wakati wsa utawala wa miaka 24 ya awali.

Mama Samia kastuka zamani sana, lakini anafanya mambo yake taratiiibu, wanaomuelewa kwenye serikali yake ni wachache sana.


Kwanza anahakikisha tunajitegemea kwa chakula.

Wazungu wameitumia sana njaa kama silaha yao ya siri.
 
Duh nilikuwa silijui hili
 
Hao wanamichezo 9 ndio wenye vigezo vya kushiriki olympics. Labda tujadili hilo genge la viongozi. Olympics huwezi kushiriki bila qualifications
 
Mkuu unashangaa kuona wingi wa maafisa wa serikali katika msafara huo kuliko idadi kiduchu ya wanamichezo! Hushangai wingi wa maafisa wa serikali sambamba na magari yao ya kifahari katika msafara wa Rais pale kila aendapo mikoani!?

Afrika hasa Kusini mwa Jangwa la Sahara ni shida. Watawala wanapenda maisha ya kifahari yakiambatana na gharama kubwa za uendeshaji wa serikali zao. Huku wale wanao waongoza wakiishi lindi la umaskini mkubwa.
 
Donald Trump aheshimiwe, we need to get colonialized
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…