Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Binafsi kama hatojali naona dr.slaa anaweza kabisa hiyo nafasi.

Anaweza fanya mabadiliko ya balozi akamrudisha slaa mjengoni kule ubelgiji akamchomeka huko hata ole sendeka
Hata mimi kule naweza, ili mradi tu amrudishe Slaa
 
Bangi imekukataa, Anza kunywa maziwa.
 
Anavyomchana mkuu kwenye interview juu ya aseme ukweli kuwa kuna corona hiyo nafasi asahaau
 
Mmoja kati ya hawa Anthony Mtaka, Biswalo Mganga, Wilbert Ibuge, Marco E. Gugati au Mberwa Kairuki
 
Tulieni kwanza Marehemu apumzike vizuri
 
Mkuu hii siyo nafasi kisiasa hii ni ya kitaaluma na weledi wa Hali ya juu. Kama unataka akomae kisiasa apewe tu viti maalum pale mjengoni
 
Hizo ni nafasi za oroffessionals ww vp!!?
muwe mnajiongeza
 
H Hiyo nafasi inatakiwa apewe mtu kutoka chuo kikuu UDSM, mtu smart kama alivyo kuwa huyo ndugu kijazi. Nadhani tumeelewana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…