Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Hiki kiherehere cha kila nafasi ikiwa wazi anayetajwa makonda mamuharibia
 
Wa gwan yah rastafar 🤣🤣🤣
 
Tuliambiwa nafasi za kuteuliwa haziangalii elimu bali uwezo. Kwa Tanzania tu.
katibu mkuu ni nafasi inayohitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kielimuna akili ya kuchakata Mambo,kumbuka huyu ndie kiungo wa Baraza la mawaziri,huyu ndie anaye sort out na ku organize Mambo yote ya wizara zote.Hii nafasi inahitaji akili kubwa .hii nafasi ni ngumu kuliko hata uwaziri mkuu.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Hapa tumpendekeze humprey polepole hii nafasi anaiweza vuzri. Wengi wety tutakumbuka vizuri alivyoshusha hesabu kwenye lile sakata la upotevu wa 1.5 trillion Watanzania wengi walimwelewa vizuri na walimuunga mkono

DUMU KUBWA
 
Mh. Rais, mimi ni mpinzani wako mkubwa sana maana ulinitumbua bila sababu maalum, ila kuna machache nitakuunga mkono.

Nikiwa serikalini, nilifanya kazi na John Kijazi pamoja na Allan kijazi. Nakiri kwamba hawa watu nj waadilifu wa hali ya juu. Allan ni kama kaka yake.

Najua unawapenda watu waadilifu. Kwa maslahi mapana ya taifa, mteue, Allan Kijazi awe Katibu Mkuu Kiongozi. Tafadhali sana. Huyu mtu muadilifu kupitiliza. Ukienda TANAPA yuko safi miaka yote amesimamia taasisi.

Mpinzani wako, mfia nchi.
 
Hahahaaaaa nimeipenda hyo paragraph ya kwanza
 
Au Dr. Agnes Kijazi mkurugenzi wa Hali ya hewa na makamu wa mkurugenzi mkuu wa WMO!
 
Alipotangazwa tu kufariki Katibu Mkuu Kiongozi, kuna watu wameweka kambi kwa Waganga na wengine wanaendelea kuombeana hata vifo viongezeke ili nafasi ziwe nyingi wazi. CCM sio watu kwenye kusaka uteuzi.

Usishangae hata hii issue ya Covid-19 wana CCM wamekaa huko wakashauriana waikomalie haipo nchini, ili wazee wapukutike ili pension zao za kustaafu na NSSF wasipewe warithi wao, zipelekwe kwenye miradi.
 

Zamu ya msukuma.
 
Hii nafasi ya Makonda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…