Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Aliyepita pia balozi ombeni sefue nae alikuwa balozi na sas aliefariki pia Ni balozi balozi wa Nigeria namuona
Balozi Ombeni Sefue mwacheni apumzike, msije mkamharibia bure kwa madudu aliyoyafanya akiwa ni KMK ikiwa ni pamoja na sababu zilizofanya atumbuliwe nafasi ya KMK.

Tafadhali sana jamani, mwacheni Ombeni Sefue apumzike kwa amani.
 
Hivi huyu jamaa ji ndugu na waziri aliyempokonya nafasi Mh. Kigwa? Dr. Damas Ndumbaro?
Hata kama ni ndugu, lakini Dr. Laurean Ndumbaro hafai nafasi ya KMK kama ilivyoelezwa hapo awali.

Kampeleka mwanamama mmoja hivi kwenda kuwa Mkurugenzi wa Fedha kwenye Board moja hivi ya umma iliyopo kusini wakati huyo mama hana sifa za kuwa Mkurugenzi wa Fedha, huyo mwanamama kasomea Sociology!!!

Je wahasibu wote wameisha Tanzania mpaka apewe huyo mwanamama wakati sifa hana???
 
Kwa hiyo mkuu umekereka na hilo la uteuzi wa huyo Mkurugenzi wa Fedha tu ambako it's likely una conflict of interest. Maana uzi mzima referrence yako wewe ya kutotosha kwake ni hiyo moja tu. Je uteuzi wa nafasi hiyo haukuhusisha vetting? Je yeye ndiye mwamuzi pekee wa nani ashike nafasi tajwa?
 
Muda wa kustaafu ulifika nikamuongezea miaka miwili maana sikuona mwingine,miaka miwili ikaisha nikamuongezea miaka miwili tena maana bado sijaona mwingine,sasa Mungu akasema umezoea.Jiwe akimuaga Eng Kijazi.
Hili neno popote ulipo bro, siku hizi sipati nondo zako.
 
Kwa hiyo mkuu umekereka na hilo la uteuzi wa huyo Mkurugenzi wa Fedha tu ambako it's likely una conflict of interest. Maana uzi mzima referrence yako wewe ya kutotosha kwake ni hiyo moja tu. Je uteuzi wa nafasi hiyo haukuhusisha vetting? Je yeye ndiye mwamuzi pekee wa nani ashike nafasi tajwa?
Au ww ndo ndumbaro mwenyewe unajipigia debe hapa?!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe binafsi umeona msagia kunguni ana hoja nyingine yoyote zaidi ya hiyo aliyoishikilia, in a very objective view ya hili jambo. Je kwa nafasi yake huyo Ndumbaro amesimamia/idhinisha teuzi ngapi akiwa ktk hicho kiti? Kote amefanya kama mtoa hoja anavyojaribu kutuaminisha? [emoji2379] Mwisho wa siku me ni mvuja jasho mmoja tu wa huku Ugwachanya wala sina nilijualo kumhusu Dr. Ndumbaro
 
Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu.

Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia.

Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo.

Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo elewa kuwa unafaa na jamii inakukubali hivyo unapaswa kuendeleza imani hiyo kwa jamii inayokuzunguka.

Swali liko hapo juu, wewe wadhani nani anaweza kuvaa kiatu cha Injinia na kwa nini unamfikiria huyo?

Ingawa umri wake imeenda lakini binafsi namfikiria Katibu mkuu wa utumishi Dr. Laurian Ndumbaro

Kwanini:-

Ni mchapa kazi, ana uzoefu wa muda mrefu kazini na ametulia-hana mapepe mapepe.

2........

3........

4......
Cypirian Musiba. Ana uchungu na JIWE kiasi cha kumtukana na kumdhalilisha yeyote anayemkwaza Jiwe.
 
Kwa hiyo mkuu umekereka na hilo la uteuzi wa huyo Mkurugenzi wa Fedha tu ambako it's likely una conflict of interest. Maana uzi mzima referrence yako wewe ya kutotosha kwake ni hiyo moja tu. Je uteuzi wa nafasi hiyo haukuhusisha vetting? Je yeye ndiye mwamuzi pekee wa nani ashike nafasi tajwa?
Tumekwambia Dr. Ndumbaro Laurean hafai kuwa KMK kabisaaa!!!...wala mimi sina hata conflict of interest ya nafasi ya Ukurugenzi wa Fedha aliyopewa huyo mwanamke kwenye taasisi nyeti ya umma iliyopo kusini. Siwezi kuwa na conflict of interest kwasababu; kwanza mimi sio mhasibu na wala sina ugomvi personal wowote na Dr. Laurean Ndumbaro wala huyo mwanamke aliyekubuhu kwa kufanya lobbying!!!

Hatumsemi vibaya tu Dr. Ndumbaro kwa hiyo decision ya kumpa huyo mwanamke hiyo nafasi ya Ukurugenzi wa Fedha wakati hafai, pia tuliongelea hapo awali kuwa Dr. Ndumbaro amekuwa aki-collude na wakuu wa taasisi za umma kuwaumiza watumishi wa umma kwa namna moja ama nyingine, the man is corrupt - naomba uelewe tu hivyo!!

Kwa nafasi nyeti aliyo nayo Dr. Ndumbarona na uelewa wa majukumu yake alitakiwa awe objective katika kupangia kazi watumishi.

Hata kama vetting ilifanyika au haikufanyika kuhusu huyu mama, kama ilifanyika basi watu waliomfanyia ni zero brain kwasababu hata vyeti vya kusomea uhasibu huyo mwanamke hana, hajawi fanya kazi ya uhasibu mahali popote, yeye kasomea Sociology!!!

Watu design ya huyo mwanamke ndio wanaoharibu taasisi za umma kwasababu ni; lobbyist, mpenda majungu, good sliperly katika utendaji kazi na mjanjamjanja tu.

Kwa sasa inatosha!!!
 
Mara pah!

MuhSihBah au Mahkondah mmoja kati yao, huyo hapo, ze niu-KMK.
kuna watu mtatafuta Chaka la kuhamia bila taarifa😉
 
Hata haya nayo ni Majungu
 
Katibu mkuu kiongozi ni nafasi ya utendaji. Makonda hana rekodi ya utendaji u RC ni uteuzi wa kisiasa. Na nyie watu wa makonda mtulie sasa kateuliwa polepole mkasema makonda kuwa mwenezi. Leo Kijazi kafariki tu makonda. Alopokosa ubunge mkasema atapewa ubunge na uwaziri. Tulieni mnamuharibia makonda
 
Hata kama ni ndugu, lakini Dr. Laurean Ndumbaro hafai nafasi ya KMK kama ilivyoelezwa hapo awali.

Kampeleka mwanamama mmoja hivi kwenda kuwa Mkurugenzi wa Fedha kwenye Board moja hivi ya umma iliyopo kusini wakati huyo mama hana sifa za kuwa Mkurugenzi wa Fedha, huyo mwanamama kasomea Sociology!!!

Je wahasibu wote wameisha Tanzania mpaka apewe huyo mwanamama wakati sifa hana???
Hili la huyu mwanamama kwenda kuwa mkurugenzi wa fedha limetushangaza wengi. Japo yasemekana alipokuwapo alikuwa kama key witness kwenye kesi iliyomtumbua mkurugenzi wa shirika alilokuwa akifanyia kazi. Huyu dada ana sifa na experience ya kutosha ya mambo ya Rasirimali watu na sio fedha.

Kwa nafasi anazopata mama huyu lazima ana bahati sio ya nchii na anajua vizuri kula na wakubwa. Hata alipokuwa Tanesco pia alibebwa sana na mkurugenzi wa tanesco.
 
Kwa hiyo mkuu umekereka na hilo la uteuzi wa huyo Mkurugenzi wa Fedha tu ambako it's likely una conflict of interest. Maana uzi mzima referrence yako wewe ya kutotosha kwake ni hiyo moja tu. Je uteuzi wa nafasi hiyo haukuhusisha vetting? Je yeye ndiye mwamuzi pekee wa nani ashike nafasi tajwa?
Declare conflict of interest ndg! Ndumba ndumba...kunaniiij? Mbona watz tupo wengi sana!?
 
Ndumbaro umri umeenda usiumie kihivyooooo tutarajie uteuzi si wa kushtua sana pamoja na sifa tajwa ila lazima awe mtu mwenye ukaribu naye kwa kumjua vizuri kimsimamo. Kitabia soon tutasikia uteuzi
1. Katibu kiongozi na makatibu wakuu/ naibu
2 Ma RC itafuata
3 ma Dc
4. Wakurugenzi
5 mwisho mabalozi
Tutasimama kisha uteuzi utaelekezwa sekretarieti ya ccm
Kwa hiyo watu wa makonda mtulie
 
Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu.

Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia.

Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo.

Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo elewa kuwa unafaa na jamii inakukubali hivyo unapaswa kuendeleza imani hiyo kwa jamii inayokuzunguka.

Swali liko hapo juu, wewe wadhani nani anaweza kuvaa kiatu cha Injinia na kwa nini unamfikiria huyo?

Ingawa umri wake imeenda lakini binafsi namfikiria Katibu mkuu wa utumishi Dr. Laurian Ndumbaro

Kwanini:-

Ni mchapa kazi, ana uzoefu wa muda mrefu kazini na ametulia-hana mapepe mapepe.

2........

3........

4......
Bujibuji nadhan hii nafas ataitendea haki
 
Tumekwambia Dr. Ndumbaro Laurean hafai kuwa KMK kabisaaa!!!...wala mimi sina hata conflict of interest ya nafasi ya Ukurugenzi wa Fedha aliyopewa huyo mwanamke kwenye taasisi nyeti ya umma iliyopo kusini. Siwezi kuwa na conflict of interest kwasababu; kwanza mimi sio mhasibu na wala sina ugomvi personal wowote na Dr. Laurean Ndumbaro wala huyo mwanamke aliyekubuhu kwa kufanya lobbying!!!
Yaani hata maneno ndiyo huwa yanamwingia sana Jiwe kiasi huwa anaamua kuwakomesheni, sasa subiri Ndumbaro aukwae ukatibu mkuu kiongozi! Hii yote jiwe atakuwa anataka kukukomesha tu!
 
kwa maoni yangu, nikweli marehem alikuwa nasifa zte zakuwa katibu mkuu kiongozi.
nabaada ya Mungu kuruhusu apunzike, Naona mtu wakuvaa viatu vyake ni Dr. Hasan Abas , msemaji mkuu wa serikali na katibu mkuu wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo.

kama kunamwingine unamuona zaidi ya huyu hebu weka hapa.
 
NAMPENDEKEZA Alfayo Kidata RAS Mtwara jamaa anatosha basi tu walimzingua zingua
 
Back
Top Bottom