Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Kumekucha Wakuu,Mungu Ni Mwema.....

Kiukweli Nimejaribu Kuvuta Macho na Kuangalia Watendaji Wa Mh Magufuli Kuona Ni Nani Atakaye Ziba Pengo La Mh Balozi Kijazi (R.I.P) Sijaona Wa Kuendana Nae Zaidi Ya Makonda.

Huyu Kijana Anafaa Sana Na Hii Nafasi Kama Makonda Ataipewa Itamkomaza Sana Kisiasa Na Atajakuwa Mtu Muhimu Sana Kwa Taifa Letu.

Mnaonaje Wakulungwa? Macho Yenu Yanaona Kama Mimi?

#VaaBarakoaCoronaIpo
Makonda hebu acha basi !! Uwezo huo huna , labda ubebwe
 
Kumekucha Wakuu,Mungu Ni Mwema.....

Kiukweli Nimejaribu Kuvuta Macho na Kuangalia Watendaji Wa Mh Magufuli Kuona Ni Nani Atakaye Ziba Pengo La Mh Balozi Kijazi (R.I.P) Sijaona Wa Kuendana Nae Zaidi Ya Makonda.

Huyu Kijana Anafaa Sana Na Hii Nafasi Kama Makonda Ataipewa Itamkomaza Sana Kisiasa Na Atajakuwa Mtu Muhimu Sana Kwa Taifa Letu.

Mnaonaje Wakulungwa? Macho Yenu Yanaona Kama Mimi?

#VaaBarakoaCoronaIpo
Punguza matumizi ya bangi bro
 
Yaani ww unaota asubuhi? Uwezo , elimu, ukomavu, ufanisi na weledi wa kijazi waufananisha na Makondakta
Kwa kufikiri wako kwa dhibitisha kweli ccm aitufai
 
Magufuli pamoja na madhaifu yake yote hawezi mweka makonda ofisini kama ya katibu kiongozi..
Kumekucha Wakuu,Mungu Ni Mwema.....

Kiukweli Nimejaribu Kuvuta Macho na Kuangalia Watendaji Wa Mh Magufuli Kuona Ni Nani Atakaye Ziba Pengo La Mh Balozi Kijazi (R.I.P) Sijaona Wa Kuendana Nae Zaidi Ya Makonda.

Huyu Kijana Anafaa Sana Na Hii Nafasi Kama Makonda Ataipewa Itamkomaza Sana Kisiasa Na Atajakuwa Mtu Muhimu Sana Kwa Taifa Letu.

Mnaonaje Wakulungwa? Macho Yenu Yanaona Kama Mimi?

#VaaBarakoaCoronaIpo
 
Miongoni mwa sifa ambazo raisi alizirudia Mara kwa mara za marehemu Kijazi ni unyenyekevu kwa watu wote na Mara zote,siku zote .sizioni kwa makonda
 
sidhan
ile nafas inahitaj mtu mkongwe zaidi na mwenye uzoefu.kwa makonda kwAnza nasikitikaga sana kutomuona kwenye siasa.ana kipaji mbunifu na ana haiba ya uongoz .mnawwez kumhukum mnavyoona inafaa lakn haiba na charismatic ya uongoz anayo.yale mengine ni umr kumbuka ni kijana mdogo so mengine mnamuachia.ila kipaji anacho na siasa tu vile ni dirty games ila Kaliba ya makonda was not something to leave behind.
 
Kumekucha Wakuu,Mungu Ni Mwema.....

Kiukweli Nimejaribu Kuvuta Macho na Kuangalia Watendaji Wa Mh Magufuli Kuona Ni Nani Atakaye Ziba Pengo La Mh Balozi Kijazi (R.I.P) Sijaona Wa Kuendana Nae Zaidi Ya Makonda.

Huyu Kijana Anafaa Sana Na Hii Nafasi Kama Makonda Ataipewa Itamkomaza Sana Kisiasa Na Atajakuwa Mtu Muhimu Sana Kwa Taifa Letu.

Mnaonaje Wakulungwa? Macho Yenu Yanaona Kama Mimi?

#VaaBarakoaCoronaIpo
Makonda anafaa sana lakni pia bado wapo na watanzania wengine wengi tu wanaofaa, possibly wewe ukiwa mmoja wao. System ndiyo inayowajua. JPM alichosema kwa maana nyingine ni kuwa walikuwepo wanaofaa kwa kazi hiyo, ila hakuona kati yao aliyekuwa ni bora kumzidi huyu aliyetangulia mbele ya haki. Aidha baadhi yao walikuwa wanaonekana kulingana naye au alionekana kuwazidi. Mimi ndivyo nilivyomwelewa ila nisingependa kumlisha maneno
 
Ile nafasi inahitaji watu wenye hekima- sasa fikiria Marehemu Kijazi ndo alikuwa anamshauri rais kwamba avumilie kumtumbua mtu fulani kwa Makonda so ndo itakuwa kinyume chake?
 
Back
Top Bottom