Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaa Kwa KutuliaAchana na mmea haukufai
I second this
Makonda hebu acha basi !! Uwezo huo huna , labda ubebweKumekucha Wakuu,Mungu Ni Mwema.....
Kiukweli Nimejaribu Kuvuta Macho na Kuangalia Watendaji Wa Mh Magufuli Kuona Ni Nani Atakaye Ziba Pengo La Mh Balozi Kijazi (R.I.P) Sijaona Wa Kuendana Nae Zaidi Ya Makonda.
Huyu Kijana Anafaa Sana Na Hii Nafasi Kama Makonda Ataipewa Itamkomaza Sana Kisiasa Na Atajakuwa Mtu Muhimu Sana Kwa Taifa Letu.
Mnaonaje Wakulungwa? Macho Yenu Yanaona Kama Mimi?
#VaaBarakoaCoronaIpo
Aliiwezaje hiyo Dar unayoisema?labda alikuweza wewe Kilaza mwenzake.Paul Makonda yupo vzr sana aiseeeee na ndio maana anapigwa mawe sana aliiiweza DSM 100%
Punguza matumizi ya bangi broKumekucha Wakuu,Mungu Ni Mwema.....
Kiukweli Nimejaribu Kuvuta Macho na Kuangalia Watendaji Wa Mh Magufuli Kuona Ni Nani Atakaye Ziba Pengo La Mh Balozi Kijazi (R.I.P) Sijaona Wa Kuendana Nae Zaidi Ya Makonda.
Huyu Kijana Anafaa Sana Na Hii Nafasi Kama Makonda Ataipewa Itamkomaza Sana Kisiasa Na Atajakuwa Mtu Muhimu Sana Kwa Taifa Letu.
Mnaonaje Wakulungwa? Macho Yenu Yanaona Kama Mimi?
#VaaBarakoaCoronaIpo
Kwahiyo na boss alishiriki kumpiga mawe akaruhusu anguko kupitia wajumbePaul Makonda yupo vzr sana aiseeeee na ndio maana anapigwa mawe sana aliiiweza DSM 100%
Kumekucha Wakuu,Mungu Ni Mwema.....
Kiukweli Nimejaribu Kuvuta Macho na Kuangalia Watendaji Wa Mh Magufuli Kuona Ni Nani Atakaye Ziba Pengo La Mh Balozi Kijazi (R.I.P) Sijaona Wa Kuendana Nae Zaidi Ya Makonda.
Huyu Kijana Anafaa Sana Na Hii Nafasi Kama Makonda Ataipewa Itamkomaza Sana Kisiasa Na Atajakuwa Mtu Muhimu Sana Kwa Taifa Letu.
Mnaonaje Wakulungwa? Macho Yenu Yanaona Kama Mimi?
#VaaBarakoaCoronaIpo
Makonda anafaa sana lakni pia bado wapo na watanzania wengine wengi tu wanaofaa, possibly wewe ukiwa mmoja wao. System ndiyo inayowajua. JPM alichosema kwa maana nyingine ni kuwa walikuwepo wanaofaa kwa kazi hiyo, ila hakuona kati yao aliyekuwa ni bora kumzidi huyu aliyetangulia mbele ya haki. Aidha baadhi yao walikuwa wanaonekana kulingana naye au alionekana kuwazidi. Mimi ndivyo nilivyomwelewa ila nisingependa kumlisha manenoKumekucha Wakuu,Mungu Ni Mwema.....