Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Nireteeni gwajima.

Gwajima Mchungaji ndo karibu Hahahahaaaaaa.

Ka nchi kaajabu
 
Ukiambiwa bangi haifai wewe unatupa stori za bob marley
acheni hizo propaganda fake kuhusu bangi nyie ndio mnafanya bangi ionekane ni mbaya wakati hata pafu moja ujawai kuvuta.
Huyu aliyeleta hii mada hayo ni mawazo yake, trust me Hakuna mvuta bangi hata mmoja anaweza kua na mawazo ya kikuda kama hayo, so stop to criticize marijuana
 
Katibu mkuu kiongozi anahitajika mtu aliyekomaa, mtulivu wa akili, makini, mwenye kushauri na asiye mwoga na mwenye nidham ya hali ya juu.
Inabidi awe mwenye kuheshimika, mzalendo mwenye uchungu wa nchi.
Anatakiwa asiwe mvivu kusoma andiko mbalimbali na awe na hekima kuu.
Hatakiwi mtu atakayetaka umaarufu wa kuweza kutaka uongozi zaidi
Ni msaidizi mkuu wa Rais. Ni mbeba maono ya nchi.
Mungu amsaidie Mh Rais na Vetting team ipate mtu sahihi kwa wakati huu. Uzuri wapo.
 
Magu hawezi mpa hiyo nafasi hiyo yule jamaa aisee...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwanza mzee baba ashasahau kama Bashite yupo yanii...

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Kumekucha Wakuu,Mungu Ni Mwema.....

Kiukweli Nimejaribu Kuvuta Macho na Kuangalia Watendaji Wa Mh Magufuli Kuona Ni Nani Atakaye Ziba Pengo La Mh Balozi Kijazi (R.I.P) Sijaona Wa Kuendana Nae Zaidi Ya Makonda.

Huyu Kijana Anafaa Sana Na Hii Nafasi Kama Makonda Ataipewa Itamkomaza Sana Kisiasa Na Atajakuwa Mtu Muhimu Sana Kwa Taifa Letu.

Mnaonaje Wakulungwa? Macho Yenu Yanaona Kama Mimi?

#VaaBarakoaCoronaIpo
Una maanisha makonda
 
Yuko shuleni anasoma kuipata elimu na vyeti sahihi. Akimaliza shule mtamtambua. Muanze tu kufuta jina la Bashite.
 
Kuwa serious Basi yaani nafasi ya juu kabisa ya utumishi wa uma apewe mtu kwa ajili ya kumkomaza kisiasa?
 
Hii nafasi apewe Dr Asha Rose Migiro
ana sifa zote kuanzia elimu, uzoefu wa kazi ndani na nje na ngazi za kimataifa, na uadilifu
 
Point iko hapa. Maprofesa wote wa vyuo vyote, madokta specialist wote wa hospitali zote, mabalozi wote walio nchi zote wako chini yako pamoja na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Hii nafasi sio ya utani
Ukiwa mkuu wa mkoa unaongoza wajinga wengi.Ukiwa kmk unaongoza watu muhimu
 
Hakuna katibu mkuu wa wizara mwenye uwezo wa ukatibu mkuu kiongozi, wengi waliopo wameingia bila uzoefu jambo linalowakwamisha kuyajua mambo mengi. Lakini pia wengi hawana expossure kama alivyokuwa Sefue na Kijazi.

Turufu inabaki kwenye vyombo vya dola na ubalozini, tutegemee jina jipya
Yuko Emmanuel Nchimbi. Anaijua Tanzania, anaijua Ccm. Ni mtoto wa Ccm
 
Back
Top Bottom