Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Masaa 15, unasali tu ? Katika masaa 24 utenge masaa 15 ya kusali?Hiyo nishasali kila saa mpk masaa 15 ni nzuri sana kwa mtu mvivu
Mimi hiyo napenda kusali nikisafiri masafa marefu nakua na muda wa kutosha naisali
Masaa 15, unasali tu ? Katika masaa 24 utenge masaa 15 ya kusali?
yes maanake kila saa unasali kwa dakika 15 unaweka alarm njoo pm nikutumie hiyo salaMasaa 15, unasali tu ? Katika masaa 24 utenge masaa 15 ya kusali?
Km unafanya kazi fulan ,alarm ikilia unaacha ,unasali kdg ,kisha unaendela?Sio hivyo bro, yaani hayo masaa 15 unaset alarm kila baada ya lisaa limoja unasali unapumzika, likifika tena unasali ukimaliza unapumzika mpk unamaliza hayo masaa 15
hoa watakatifu wanasaidia nini we amwombe Mwenyenzi Mungu inatosha.Wewe ndiyo mpuuzi na inaonesha jinsi ulivyo na upeo mdogo wa mambo,
Sala na maelezo ya kusaliyes maanake kila saa unasali kwa dakika 15 unaweka alarm njoo pm nikutumie hiyo sala
hiyo inaleta majibu ya haraka zaidi
Km unafanya kazi fulan ,alarm ikilia unaacha ,unasali kdg ,kisha unaendela?
Waafrika ni watu wa ajabu sana.hoa watakatifu wanasaidia nini we amwombe Mwenyenzi Mungu inatosha.
Dini ime wapumbaza sana hawa watu.Mnaziishi mila na desturi za rome na mnaabudu miungu ya rome kwa maslahi ya rome eti Novena hahahaaaaaaaa
Jambo usilojua ni kazi sana. Sisi tupo imara sana na ndio wakristo halisi. Bibilia unayosoma tumelipatia sisi nyie ndio na shukrani, hamjui historia ya ukristo wala mpaka tulipofika. Kashfa tumekaa nazo tena za maana na zimeanza miaka 2000 iliyopita ,nyingine tangu Yesu akiwepo. So we don't give a crap. Sanasana someni historia ya kanisa, mapokeo yote, oral na written(bibilia), otherwise msituchoshe wakristo wa mwituni. Kwanza nobody even cares you exist hamna madhara.achana na ushirikina na upagani wa kirumi. soma Biblia ukue kiroho.
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifaWaafrika ni watu wa ajabu sana.
Wafu wa wazungu wana waita watakatifu halafu wafu wao wana waita mizimu.
Wana kemea na kufukuza Roho za mababu zao halafu wana omba na kusali roho za wafu wa wazungu ziwa saidie.
Hii inadhihirisha wazi kwamba Dini za kuletwa zimeharibu mfumo mzima wa waafrika kufikiri.
Ni vyema kusali Alfajiri au usiku wa manane.Km unafanya kazi fulan ,alarm ikilia unaacha ,unasali kdg ,kisha unaendela?
Download Playstore kuna ile ya Masaa 9 na ile ya Masaa 15..Habari zenu watu wa Mungu,
Naomba mwenye kufahamu namna ya kusali/kufunga novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anipe maelezo yake jinsi ya kufanya.
Natanguliza shukrani.
Taja desturi ya rome hapo, ata moja unipe na reference, yani watu wanabwatukaga sana. Mimi ntakwambia kwanini tunafanya hivyo, we unaijua rome wewe? Tatizo mmeshiba conspiracy theories , alafu mna pride, zao la shetani, mnakoshani sio yani ndio kwenyewe kwa surprise sasa😂😂 sisi tupo tunawachora tu.Mnaziishi mila na desturi za rome na mnaabudu miungu ya rome kwa maslahi ya rome eti Novena hahahaaaaaaaa