Nani anahitaji mapokezi makubwa ya heshima, ni Rais Samia ambaye siku zote anapambana kujenga uchumi au Tundu Lissu anayekirudia kivuli chake?

Uchumi upi? Kilo ya maharage elfu 4, chele elfu 5 a kilo etc etc! Una akili kiduchu!
Leo kuna gazeti wameandika maneno "sekta ya kilimo yakua Toka asilimia 2 hadi 3.4"?!!
Jambo linaloshangaza sana na bado tuko mbali hivi asilimia 1.4 ni jbo la kujisifia.
Hii Ina maana hadi tufike asilimia 20 Dunia imeenda kwao!!
 
Lissu ndio shujaa wa wanyonge na anapaswa kupokelewa kwa shangwe na heshima kubwa.
 
Ni hapo atapowasili Lisu ndipo utaelewa zaid... Naishia hapo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…