Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 996
- 1,907
Karibu Jembe
..
..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo kuna gazeti wameandika maneno "sekta ya kilimo yakua Toka asilimia 2 hadi 3.4"?!!Uchumi upi? Kilo ya maharage elfu 4, chele elfu 5 a kilo etc etc! Una akili kiduchu!
Lissu ndio shujaa wa wanyonge na anapaswa kupokelewa kwa shangwe na heshima kubwa.Ni swali tu ndugu zangu ambalo limekuwa likininitatanisha sana na leo nimeona nishiriki nanyi kulijadili.
Nimeona Tundu Lissu akiomba watu wakahudhurie mkutano wa hadhara uliotishwa na chama chake, ni jambo jema kama kiongozi wa kisiasa.
Pia, nimeona watu wakihimizana wakampokee Lissu akitua uwanja wa ndege hapa ndipo kwenye ukakasi na kupelekea kuuliza swali hili: Je, ni nani anayestahili mapokezi ya heshima kati ya Dkt.Samia ambaye siku zote ameshiriki pamoja nasi kupambana kujenga uchumi wetu au ni Tundu Lissu ambaye alikikimbia kivuli chake mwenyewe na sasa anakirudia?
N.B: Hata mwana mpotevu alipokelewa kwa shangwe na sherehe kubwa lakini mtoto aliyekuwepo siku zote nyumbani na babaye ndiye aliyeahidiwa urithi wa kila kitu.
Ni hapo atapowasili Lisu ndipo utaelewa zaid... Naishia hapo!!Ni swali tu ndugu zangu ambalo limekuwa likininitatanisha sana na leo nimeona nishiriki nanyi kulijadili.