Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Ndugu katika Imaani Iran na Pakistan hapatoshi, Allah yupo kimya tu.Nimeshangaa ... Anachokitaka atakipata tu. Hamas wanasema wanataka vita viishe. Netanyau analeta habari za kiduanzi. Tutaendelea kumchapa huyu Kafir mpaka aombe pooh...
Usimuusishe.... Ila nakuambia analipa tu siku si nyingi inshallah... Hatujawahi kushindwa.Ndugu katika Imaani Iran na Pakistan hapatoshi, Allah yupo kimya tu.
TaqbirUsimuusishe.... Ila nakuambia analipa tu siku si nyingi inshallah... Hatujawahi kushindwa.
Operation futa HamasNimeshangaa ... Anachokitaka atakipata tu. Hamas wanasema wanataka vita viishe. Netanyau analeta habari za kiduanzi. Tutaendelea kumchapa huyu Kafir mpaka aombe pooh...
Sisi tunaona inatosha yeye analeta kibri. Ni nini sababu lakini? Si sawa.
Njoo wenzangu tumshambulie huyu Israel.
Ritz , FaizaFoxy Choi Kang Ta
Hawa al jazeera nao wameanza kutumika nini?
Walidanganywa na Iran.Mnaomba poo sasa hivi .......ndio kwanza dj Netanyahu anareta cd za wasanii wapya .......kifupi nyie tulieni tu mpandwe......
Vita haviishi mpaka malengo ya Israel yatimie nafikiri mnajua malengo ni kuwafuta Hamas na kuwarejesha mateka kwa mujibu wa NetanyahuuNimeshangaa ... Anachokitaka atakipata tu. Hamas wanasema wanataka vita viishe. Netanyau analeta habari za kiduanzi. Tutaendelea kumchapa huyu Kafir mpaka aombe pooh...
Sisi tunaona inatosha yeye analeta kibri. Ni nini sababu lakini? Si sawa.
Njoo wenzangu tumshambulie huyu Israel.
Ritz , FaizaFoxy Choi Kang Ta
Hawa al jazeera nao wameanza kutumika nini?
Tutawachapa mpaka wachakaeHamas wamejifunza, nadhani hawatakurupuka tena!
Hadi watakapoangamizwa....Nimeshangaa ... Anachokitaka atakipata tu. Hamas wanasema wanataka vita viishe. Netanyau analeta habari za kiduanzi. Tutaendelea kumchapa huyu Kafir mpaka aombe pooh...
Sisi tunaona inatosha yeye analeta kibri. Ni nini sababu lakini? Si sawa.
Njoo wenzangu tumshambulie huyu Israel.
Ritz , FaizaFoxy Choi Kang Ta
Hawa al jazeera nao wameanza kutumika nini?
Tulia na uandike Kwa utulivu kidogo basi,hata hueleweki yaaniNimeshangaa ... Anachokitaka atakipata tu. Hamas wanasema wanataka vita viishe. Netanyau analeta habari za kiduanzi. Tutaendelea kumchapa huyu Kafir mpaka aombe pooh...
Sisi tunaona inatosha yeye analeta kibri. Ni nini sababu lakini? Si sawa.
Njoo wenzangu tumshambulie huyu Israel.
Ritz , FaizaFoxy Choi Kang Ta
Hawa al jazeera nao wameanza kutumika nini?
Ohoo! Na ww liamshe mwanangu. Ngoma hii haichezeki tena. Hali imeshakuwa sio hali. 😠Tutamchapa sana Israel... Mpaka atachakaa.... Subiribi muone... Mbwa hawa. Wataisha.... Nasubiria wenzangu waje hapa kuwachana.
FaizaFoxy Ritz na ChoiceVariable mbona mmepotea ndugu zanguni? Mmeona hiyo taarifa ya al jazeera? Mmeielewaje? Tupambane na makafir jamani. Mbona mnapotea mnaniacha peke yangu?
Kwa hiyo Hamas sasa hivi wanamtegemea Urusi, sio Iran tena?Msilolijuwa ni kuwa Hamas walikuwa na mazungumzo ya siri na Urusi na Urusi imechukuwa dhamana, kuwa wao watahakikisha usalama unapatikana, Hamas wakubaliane na plan yao. Na Plan yao Urusi ni hiyo ya Hamas kutangaza kukubali yaishe. Wakati huohu Warusi walikuwa na mazungumzo ya siri na ndiyo maana ukaona majeshi ya Mazayuni yamejitowa Ghaza.
Kinachoendelea sasa hivi ni mvutano wa ndani wa Israel baina ya wanasiasa, raia na upande mwengine jeshi lao limegawanyika, wapo wanaomuunga mkono nyau na wapo wanaomuunga mkono waziri wa vita.
Huko kuna mtafaruku wa hali ya juu.
Habri za ukweli za Hamas unazisikiliza kutoka kwa mazayuni? Waongo wanafik hao?
Allah hatoshi.Kwa hiyo Hamas sasa hivi wanamtegemea Urusi, sio Iran tena?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Inaonekana unafahamu mambo ya ndani sana ya hamas.Msilolijuwa ni kuwa Hamas walikuwa na mazungumzo ya siri na Urusi na Urusi imechukuwa dhamana, kuwa wao watahakikisha usalama unapatikana, Hamas wakubaliane na plan yao. Na Plan yao Urusi ni hiyo ya Hamas kutangaza kukubali yaishe. Wakati huohu Warusi walikuwa na mazungumzo ya siri na ndiyo maana ukaona majeshi ya Mazayuni yamejitowa Ghaza.
Kinachoendelea sasa hivi ni mvutano wa ndani wa Israel baina ya wanasiasa, raia na upande mwengine jeshi lao limegawanyika, wapo wanaomuunga mkono nyau na wapo wanaomuunga mkono waziri wa vita.
Huko kuna mtafaruku wa hali ya juu.
Habri za ukweli za Hamas unazisikiliza kutoka kwa mazayuni? Waongo wanafik hao?
Kweli kuna vilaza. Kwahiyo wewe unaamini Russia wako tayar kwa dhamana ya usalama wa Gaza City. Kwahiyo Al-Jazeera na RT cku hiz zinatoa taarifa za mazayuniMsilolijuwa ni kuwa Hamas walikuwa na mazungumzo ya siri na Urusi na Urusi imechukuwa dhamana, kuwa wao watahakikisha usalama unapatikana, Hamas wakubaliane na plan yao. Na Plan yao Urusi ni hiyo ya Hamas kutangaza kukubali yaishe. Wakati huohu Warusi walikuwa na mazungumzo ya siri na ndiyo maana ukaona majeshi ya Mazayuni yamejitowa Ghaza.
Kinachoendelea sasa hivi ni mvutano wa ndani wa Israel baina ya wanasiasa, raia na upande mwengine jeshi lao limegawanyika, wapo wanaomuunga mkono nyau na wapo wanaomuunga mkono waziri wa vita.
Huko kuna mtafaruku wa hali ya juu.
Habri za ukweli za Hamas unazisikiliza kutoka kwa mazayuni? Waongo wanafik hao?
Kama mna uwezo wa kumchapa kelelee za nn huku subirini haijapoa mpaka mseme poooNimeshangaa ... Anachokitaka atakipata tu. Hamas wanasema wanataka vita viishe. Netanyau analeta habari za kiduanzi. Tutaendelea kumchapa huyu Kafir mpaka aombe pooh...
Sisi tunaona inatosha yeye analeta kibri. Ni nini sababu lakini? Si sawa.
Njoo wenzangu tumshambulie huyu Israel.
Ritz , FaizaFoxy Choi Kang Ta
Hawa al jazeera nao wameanza kutumika nini?