Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Vipi tathmini ya mafanikio ya HAMAS kwenye vita hii kuanzia Oktober 7, 2023?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamas wanamtegemea Allah pekee.Kwa hiyo Hamas sasa hivi wanamtegemea Urusi, sio Iran tena?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Huwa sikisii.
Yame leak kijana, jionee kama lugha inapanda:
View: https://youtu.be/rHgOsQ2CuP8?si=c3E7UWlXhTzL4Muo
Kama shule ulienda kusomea ujinga, kazi kwako.
Kwani ulisikia wamesitisha mapigano?K
Nimeona ni kweli Putin amekutana na Viongozi wa HAMAS , swali kwanini wasiendeleze vita hadi ushindi upatikane dhidi ya Mazayuni?
Hawajakubali. Hamas walikuwa wanajibu uongo wa nyau kuwa Hamas hawataki mapatano. Wakati wao ndiyo hawataki mapatano.Kwa hiyo kwa ufupi tu HAMAS wamekubali kusitisha Mapigano?
Tomato sosiMimi nawaamini al jazeera. Ndo source nliyotumia. Sisi wapalestine media yetu ni al jazeera. Wewe source yako ni ipi?
Sasa huko Urusi wamekwenda Kufanya Nini hasa?Hawajakubali. Hamas walikuwa wanajibu uongo wa nyau kuwa Hamas hawataki mapatano. Wakati wao ndiyo hawataki mapatano.
Hamas uzi ule ule na jana si umeona walichokifanya?
Kuna mdahalo kati yako na ngabu njoo basi utiririke hukoMsilolijuwa ni kuwa Hamas walikuwa na mazungumzo ya siri na Urusi na Urusi imechukuwa dhamana, kuwa wao watahakikisha usalama unapatikana, Hamas wakubaliane na plan yao. Na Plan yao Urusi ni hiyo ya Hamas kutangaza kukubali yaishe. Wakati huohu Warusi walikuwa na mazungumzo ya siri na ndiyo maana ukaona majeshi ya Mazayuni yamejitowa Ghaza.
Kinachoendelea sasa hivi ni mvutano wa ndani wa Israel baina ya wanasiasa, raia na upande mwengine jeshi lao limegawanyika, wapo wanaomuunga mkono nyau na wapo wanaomuunga mkono waziri wa vita.
Huko kuna mtafaruku wa hali ya juu.
Habri za ukweli za Hamas unazisikiliza kutoka kwa mazayuni? Waongo wanafik hao?
Hamas husema na kurudia kushambulia IsraelNimeshangaa ... Anachokitaka atakipata tu. Hamas wanasema wanataka vita viishe. Netanyau analeta habari za kiduanzi. Tutaendelea kumchapa huyu Kafir mpaka aombe pooh...
Sisi tunaona inatosha yeye analeta kibri. Ni nini sababu lakini? Si sawa.
Njoo wenzangu tumshambulie huyu Israel.
Ritz , FaizaFoxy Choi Kang Ta
Hawa al jazeera nao wameanza kutumika nini?
TUsiache kuwatetea Hamas hata iweje. Hawa Makafir watatushinda vitani sisi tuwashinde hata kwenye media. Hasa huku JF. Tuwatetee ndugu zetu. Inshallah tutalipwa akhera.Hawajakubali. Hamas walikuwa wanajibu uongo wa nyau kuwa Hamas hawataki mapatano. Wakati wao ndiyo hawataki mapatano.
Hamas uzi ule ule na jana si umeona walichokifanya?
Muungwana hakatai mwaliko.Sasa huko Urusi wamekwenda Kufanya Nini hasa?
TUsiache kuwatetea Hamas hata iweje. Hawa Makafir watatushinda vitani sisi tuwashinde hata kwenye media. Hasa huku JF. Tuwatetee ndugu zetu. Inshallah tutalipwa akhera.
We unadhani kafiri akivaa kanzu hatumjui?TUsiache kuwatetea Hamas hata iweje. Hawa Makafir watatushinda vitani sisi tuwashinde hata kwenye media. Hasa huku JF. Tuwatetee ndugu zetu. Inshallah tutalipwa akhera.
We km unapenda waislamu si ukubalj kuolewa tu na hao wazee hapo mtaani.?Nimeshangaa ... Anachokitaka atakipata tu. Hamas wanasema wanataka vita viishe. Netanyau analeta habari za kiduanzi. Tutaendelea kumchapa huyu Kafir mpaka aombe pooh...
Sisi tunaona inatosha yeye analeta kibri. Ni nini sababu lakini? Si sawa.
Njoo wenzangu tumshambulie huyu Israel.
Ritz , FaizaFoxy Choi Kang Ta
Hawa al jazeera nao wameanza kutumika nini?
Mwendawazim kweli, kwaio reference ni thread iliyoletwa na gaidi kafir mwenzio, nlidhani unaleta referençe yenye audio and video anayoongea TheMan himself,Mr Netanyahu...Makamanda wa Jeshi la Israel wamekiri Kushindwa na Hamas: - NYT
Makamanda wa IDF: Haiwezekani kuwashinda Hamas na kuwaokoa mateka - NYT Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa Google. Malengo mawili ya kuwaokoa mateka na kuwaangamiza Hamas hayawezekani, Majenerali wanne waandamizi wa IDF waliliambia gazeti la New York Times katika makala iliyochapishwa...www.jamiiforums.com