Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Sindano aijaingiaaaa na badoooMsilolijuwa ni kuwa Hamas walikuwa na mazungumzo ya siri na Urusi na Urusi imechukuwa dhamana, kuwa wao watahakikisha usalama unapatikana, Hamas wakubaliane na plan yao. Na Plan yao Urusi ni hiyo ya Hamas kutangaza kukubali yaishe. Wakati huohu Warusi walikuwa na mazungumzo ya siri na ndiyo maana ukaona majeshi ya Mazayuni yamejitowa Ghaza.
Kinachoendelea sasa hivi ni mvutano wa ndani wa Israel baina ya wanasiasa, raia na upande mwengine jeshi lao limegawanyika, wapo wanaomuunga mkono nyau na wapo wanaomuunga mkono waziri wa vita.
Huko kuna mtafaruku wa hali ya juu.
Habri za ukweli za Hamas unazisikiliza kutoka kwa mazayuni? Waongo wanafik hao?