Nani anampa kiburi Netanyau? Hamas hatutaki vita iendelee tumeamua yaishe. Analeta Kibri?

Hana kiburi wala nini bali hana pa kutokea na wamemchoka
Nyumba yake imezingirwa na wayahudi wakidai ndugu zao mateka
Na bunge limevamiwa na wengine
Ni aibu sio kiburi
 
K

Nimeona ni kweli Putin amekutana na Viongozi wa HAMAS , swali kwanini wasiendeleze vita hadi ushindi upatikane dhidi ya Mazayuni?
Kwani ulisikia wamesitisha mapigano?

Waliopo vitani ni mazayuni. Hamas wapo kwenye mapigano tu.
 
Hakuna mtafaruku huko Israel
Bunge la Israel limekataa Mpango wa kusitisha uchaguzi wakati huu wa Vita , ni Wabunge 18 TU Kati ya 120 waliorishia wazo wa uchaguzi
 
Kwa hiyo kwa ufupi tu HAMAS wamekubali kusitisha Mapigano?
Hawajakubali. Hamas walikuwa wanajibu uongo wa nyau kuwa Hamas hawataki mapatano. Wakati wao ndiyo hawataki mapatano.

Hamas uzi ule ule na jana si umeona walichokifanya?
 
Kuhusu mtafaruku
Baraza la mawaziri maalumu Kwa kipindi hiki Cha Vita linaundwa na Vyama vya tofauti vya siasa na linaongozwa na Netanyau na huo ndiyo utaratibu wao
 
Kuna mdahalo kati yako na ngabu njoo basi utiririke huko
 
Hamas husema na kurudia kushambulia Israel
 
Hawajakubali. Hamas walikuwa wanajibu uongo wa nyau kuwa Hamas hawataki mapatano. Wakati wao ndiyo hawataki mapatano.

Hamas uzi ule ule na jana si umeona walichokifanya?
TUsiache kuwatetea Hamas hata iweje. Hawa Makafir watatushinda vitani sisi tuwashinde hata kwenye media. Hasa huku JF. Tuwatetee ndugu zetu. Inshallah tutalipwa akhera.
 
We unadhani kafiri akivaa kanzu hatumjui?
[emoji1787][emoji1787]
Nyie ndio wale wagalatia mnaokwenda kuiba mmevaa kanzu kisha wanapakaziwa waislamu
 
We km unapenda waislamu si ukubalj kuolewa tu na hao wazee hapo mtaani.?
ya nini kujipendekeza wakati unajua we kafiri? Njoo kwenye Dini ya Haki tukufunze kuoga na namna ya kuishi na mume.
 
Mwendawazim kweli, kwaio reference ni thread iliyoletwa na gaidi kafir mwenzio, nlidhani unaleta referençe yenye audio and video anayoongea TheMan himself,Mr Netanyahu...
 
Hamas alibeep sasa anapigiwa wacha apokee mvua hayo makombora israeli moto wa kuotea mbali mimi niliwapa hamas na hisbora miezi mitatu tu kuanzia januari na mwezi wa kwanza unaelekea kwisha bado miwili hamasi na hizibora watakuwa wadogo kama pilitone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…