Nani anampa kiburi Netanyau? Hamas hatutaki vita iendelee tumeamua yaishe. Analeta Kibri?

Atakuwa mpole tu, Jana Hamas wameua wana jeshi 24 kwa, mpigo,
Wajeda walikuwa wanatega mabomu kwenye jengo ili walilipue, Mpigania haki wa Hamas, akawacheki, akapiga rocket propelled gurunet, mabomu yakawalipukia wajeda! 24 wakafia hapo hapo!
Netanyahu Hana ujanja, sasa, hv Hana uhakika, kama Biden, atashinda urais,November!
Nyumbani ana kesi za, ufisadi kibao zinamkabili!
 
We unadhani kafiri akivaa kanzu hatumjui?
[emoji1787][emoji1787]
Nyie ndio wale wagalatia mnaokwenda kuiba mmevaa kanzu kisha wanapakaziwa waislamu
Sheikh kanzu ni vazi kama vazi jingine. Au huna ufahamu na haya mambo? Unadhani kanzu ni vazi la Kiislamu? 🤣
 
Wapalestine tunauawa daily. Inaumiza sana. UN chief blasts Israel’s ‘collective punishment’ of Palestinians in Gaza
 

unavomshobokea bwana wako sasa!!

si utulize kinyeo chako urekebishe ndoa yako iliyokushinda
 
Kuna moderator mwislamu humu JF anapenda sana hizi threads,na hazitupwi
 

Mkuu we si ulikua kwene matibabu ya kuacha ushoga imekuaje tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…