Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
huyu HapanaNi Rear Admiral Ramson Mwaisaka kama sijakosea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu HapanaNi Rear Admiral Ramson Mwaisaka kama sijakosea
Lete Maneno.....
By JK Wa Msoga Chalinze ~Tanzania
Mjomba Mnadhimu si alikuwa huyo huyo unayesema alichukuliwa akaachwa mnadhimu?Wakati wa jiwe aliachwa MNADHIMU akapewa MABEYO
Haitatokea itakua dharau sana,maana CDF lazima awe four star General kitu ambacho unakipata JWTZ tu, mdogo wako hawezi kupewe mamlaka nyeti sana ,TPDF ni jeshi kongwe, jeshi mama na jeshi Baba linaweza akazalisha viongozi wakafanya kazi katika taasisi muhimu za kijeshiHv polisi na askari magereza kwa cheo chochote kile watakachokuwanacho hawawezi kukalia kiti cha u-cdf!?
But mwanajeshi yyte kwa vyeo vyao wanaweza kukalia nafasi ya juu kabisa ya IGP ama mkuu wa magereza ni sawa hapo ama mimi ndio najichanganya!
mwenye uelewa atufafanulie please
brig yeyote anaweza kuwa mkuu wa magereza au jeshi lolote jingine lakini sio IGP.Yeah mkuu hakuna polisi wala magereza anayeweza kukalia nafasi yoyote ile ya jeshi
Ila mwanajeshi kuanzia cheo cha brigedia jenerali aweza kuwa mkuu wa jeshi lolote kati ya polisi au magereza nk
JWTZ ndiyo jeshi senior kuliko majeshi yote
Wakati huyu anachaguliwa kuna senior alikuwa juu yakeMjomba Mnadhimu si alikuwa huyo huyo unayesema alichukuliwa akaachwa mnadhimu?
Sisi ni kama Tomaso mpaka tuone Mkuu!😀Jambo Limeisha Hilo Soon Anaapishwa
jeshi kongwe zaidi kati ya yoteni la polisi.halijawahi kubadilishwa wala kuundwa upya tokea mkoloni.Haitatokea itakua dharau sana,maana CDF lazima awe four star General kitu ambacho unakipata JWTZ tu, mdogo wako hawezi kupewe mamlaka nyeti sana ,TPDF ni jeshi kongwe, jeshi mama na jeshi Baba linaweza akazalisha viongozi wakafanya kazi katika taasisi muhimu za kijeshi
mwanajeshi yoyote anawezakuwa mkuu wa jeshi lolote ila sio PT wala mkuu wa cammission zake.Hv polisi na askari magereza kwa cheo chochote kile watakachokuwanacho hawawezi kukalia kiti cha u-cdf!?
But mwanajeshi yyte kwa vyeo vyao wanaweza kukalia nafasi ya juu kabisa ya IGP ama mkuu wa magereza ni sawa hapo ama mimi ndio najichanganya!
mwenye uelewa atufafanulie please
sasa matusi halafu unaandika matango pori.We boya, JW Lina Kila kitu kilichopo kwenye muundo wa utawala
Atakuwa msabatoAjae me najua dini yake itakua islam
Sawa MkuuSisi ni kama Tomaso mpaka tuone Mkuu!😀
jeshi kongwe zaidi kati ya yoteni la polisi.halijawahi kubadilishwa wala kuundwa upya tokea mkoloni.
polisi yeyote hawezi kuwa cdf sababu ya kanuni za uteuzi wa CDF na mwongozo wake,hivyo hivyo kwa Jeshi la polisi haliruhusu afisa mkuu kutoka nje ya jeshi lake kuja kuwa IGP.
ila magereza na majeshi mengine inawezekana maana ni fani ambazo zinaingiliana.
nimekwambia mwanajeshi anawezakuwa mkuu wa taasisi yoyote nchini ila sio polisi,unabisha,Mwanajeshi anaweza kuwa mkuu wa polisi na mifano ipo kuna nchi nyingi tu ambazo wanajeshi wameenda kuwa wakuu wa polisi
Duh! Polisi ni idara ndogo sana. Haina chochote kile ambacho inaweza wekwa iwapo ikitokea mapinduzi.brig yeyote anaweza kuwa mkuu wa magereza au jeshi lolote jingine lakini sio IGP.
upolisi ni gani tofauti ambayo mwanajeshi hasomei.
hoja sio udogo kijana,ni taaluma.Duh! Polisi ni idara ndogo sana. Haina chochote kile ambacho inaweza wekwa iwapo ikitokea mapinduzi.
Colonel yoyote anaweza kuisimamia polisi