Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

Mabeyo amepokea mshahara wake wa mwisho kabisa leo kama mkuu wa majeshi soon tunatangaziwa CDF mpya. Hii wiki ngumu sana kwa high ranking officers ndani ya JWTZ
Bila shaka zoezi litaambatana na mabadiliko ya wakuu wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama mfano Sirro etc..
 
Bila shaka zoezi litaambatana na mabadiliko ya wakuu wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama mfano Sirro etc..
Nadhani wa vyombo vingine kuondoka sio sasa. Hata Siro atakuwa na miaka 2-3 mbele
 
Naona, Maza kapigwa chenga ya mwili....!!
 
Umeenda chaka kwa 100%!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…