little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 1,870
- 3,589
Na Mimi niliamua kukaa kimya tu wakati Lt. Gen walikuwa wawili Lt. Gen Y Mohammed na Lt. Gen M. E. Mkingule na Wanayemsema Alikuwa ni Maj. Gen tena akiwa Chief of Operation and Training.Nimeizoom na nimeiona, angalia mabegani hapo Tangu Lini MKUNDA alikuwa LUTENI JENERALI mwehu wewe??
Sawa we unayezijua utahusika kwenye teuziHumu watu hata protokali za jeshi hawazijui
Yani mtu ni brigedier general au major general awe cdf halafu aachwe lieutenant general?
Enzi za mwendazake ofcourse ingewezekana hata segeant kuwa cdf
Duuh sawa mkuu[emoji119]CDF anatakiwa mtu mtulivu katika Maamuzi. Kwa Upande wa Meja Jenerali Mzee aliyepo Magereza japo ni mtendaji mzuri lakini kwa nafasi ya CDF kwakweli hapana-weakness yake kubwa ana hemka sana/temper.
Meja jenerali Gaguti tabia za ujana zimemkamata sana bado tofauti na umri na rank yake.
Ukiuliza wajeda wenyewe wanasema wenye sifa kwa nafasi hiyo ni Mkingule, Simuli, Mkunda na Othman
πππ Acha kabisaSawa we unayezijua utahusika kwenye teuzi
Sukuma gang bado wanawaza kimwendakuzimu[emoji1787][emoji1787]Achana na islamophobia atoteuliwa yeyote atakuwa na Dini yake kwa hivyo hapo unaagaliwa utendaji co imani ya mtu wala sehemu anayotoka siasa za ukabila zimekwisha sasa
Kasome post 44,Wote waliotajwa ktk uzi huu wameangukia pua
Humu ndani ujuaji, ukute ni Askari anayesema yule kwenye picha ni Mkunda, wakati anaona kabisa yule ni Lut. GeneralNa Mimi niliamua kukaa kimya tu wakati Lt. Gen walikuwa wawili Lt. Gen Y Mohammed na Lt. Gen M. E. Mkingule na Wanayemsema Alikuwa ni Maj. Gen tena akiwa Chief of Operation and Training.
Inabidi utazame mbali...he is a next in line.Wachana na mnadhimu, topic illikuwa ni CDF Boss
Umri wa CDF na Mnadhimu wa sasa ni nani atastaafu mapema??? Ndio pa kuangalia hapo. Na kipindi SSH anaondoka inawezekana CDF aliyopo anaweza akawa bado yupo.Inabidi utazame mbali...he is a next in line.
Hamna kitu kama icho eti next in line JW sio kama kiti cha ufalme. rejea CDF walio pita hawakua next in lineInabidi utazame mbali...he is a next in line.
JW ni taasisi makini sana, haiendi na upepo, wanadhimu wangapi wamekuwa ma CDF??? π π πHamna kitu kama icho eti next in line JW sio kama kiti cha ufalme. rejea CDF walio pita hawakua next in line
Just like CDF. DG TISS na IGP haitokuwa rahisi kujua. Kama kawaida tutaishia speculationHaya huku watu washatoa boko, tuhamie kwenye kubashiro nani DG TISS mpya na IGP mpya
CDF anatakiwa mtu mtulivu katika Maamuzi. Kwa Upande wa Meja Jenerali Mzee aliyepo Magereza japo ni mtendaji mzuri lakini kwa nafasi ya CDF kwakweli hapana-weakness yake kubwa ana hemka sana/temper.
Meja jenerali Gaguti tabia za ujana zimemkamata sana bado tofauti na umri na rank yake.
Ukiuliza wajeda wenyewe wanasema wenye sifa kwa nafasi hiyo ni Mkingule, Simuli, Mkunda na Othman
Ulkua sahii,CDF anatakiwa mtu mtulivu katika Maamuzi. Kwa Upande wa Meja Jenerali Mzee aliyepo Magereza japo ni mtendaji mzuri lakini kwa nafasi ya CDF kwakweli hapana-weakness yake kubwa ana hemka sana/temper.
Meja jenerali Gaguti tabia za ujana zimemkamata sana bado tofauti na umri na rank yake.
Ukiuliza wajeda wenyewe wanasema wenye sifa kwa nafasi hiyo ni Mkingule, Simuli, Mkunda na Othman
Ni kweli kabisa. Ni dubwana kubwa.Usiichukulie poa Polisi Tanzania. Ni dubwana kubwa sana , sema tu mambo yao ndio yana lishusha hadhi
Watu wanachukulia Polisi kawaida sana, Polisi ni kubwa sana na hata baadhi yao wanaona kama ingevunjwa vunjwa.. Rejea TISS , na kazi wanazo fanya TISS bado polisi wanazifanya isipokuwa baadhi ( mipaka ya kazi na sheria za miongozo ya kazi haziruhusu askaari polisi kuzifanya).Ni kweli kabisa. Ni dubwana kubwa.
Baada ya army mutiny na attempted coups, wanasiasa wa enzi hizo waliwanunulia polisi silaha nzito ili wawe buffer zone in case of a coup.
Kuna jenerali mstaafu aliwahi kuniuliza siku moja baada ya mazungumzo marefu, kwanini polisi wana bunduki nzito vile! Wana anti-aircraft batteries! Yule mzee aliniambia.