Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

Humu watu hata protokali za jeshi hawazijui
Yani mtu ni brigedier general au major general awe cdf halafu aachwe lieutenant general?
Enzi za mwendazake ofcourse ingewezekana hata segeant kuwa cdf
Sawa we unayezijua utahusika kwenye teuzi
 
CDF anatakiwa mtu mtulivu katika Maamuzi. Kwa Upande wa Meja Jenerali Mzee aliyepo Magereza japo ni mtendaji mzuri lakini kwa nafasi ya CDF kwakweli hapana-weakness yake kubwa ana hemka sana/temper.

Meja jenerali Gaguti tabia za ujana zimemkamata sana bado tofauti na umri na rank yake.

Ukiuliza wajeda wenyewe wanasema wenye sifa kwa nafasi hiyo ni Mkingule, Simuli, Mkunda na Othman
Duuh sawa mkuu[emoji119]
 
Achana na islamophobia atoteuliwa yeyote atakuwa na Dini yake kwa hivyo hapo unaagaliwa utendaji co imani ya mtu wala sehemu anayotoka siasa za ukabila zimekwisha sasa
Sukuma gang bado wanawaza kimwendakuzimu[emoji1787][emoji1787]
 
Na Mimi niliamua kukaa kimya tu wakati Lt. Gen walikuwa wawili Lt. Gen Y Mohammed na Lt. Gen M. E. Mkingule na Wanayemsema Alikuwa ni Maj. Gen tena akiwa Chief of Operation and Training.
Humu ndani ujuaji, ukute ni Askari anayesema yule kwenye picha ni Mkunda, wakati anaona kabisa yule ni Lut. General
 
Inabidi utazame mbali...he is a next in line.
Umri wa CDF na Mnadhimu wa sasa ni nani atastaafu mapema??? Ndio pa kuangalia hapo. Na kipindi SSH anaondoka inawezekana CDF aliyopo anaweza akawa bado yupo.
 
CDF anatakiwa mtu mtulivu katika Maamuzi. Kwa Upande wa Meja Jenerali Mzee aliyepo Magereza japo ni mtendaji mzuri lakini kwa nafasi ya CDF kwakweli hapana-weakness yake kubwa ana hemka sana/temper.

Meja jenerali Gaguti tabia za ujana zimemkamata sana bado tofauti na umri na rank yake.

Ukiuliza wajeda wenyewe wanasema wenye sifa kwa nafasi hiyo ni Mkingule, Simuli, Mkunda na Othman

Hongera
 
Ulkua sahii,
Mkunda kateuliwa[emoji4][emoji106]
 
Hivi Brig Gen Gaguti nikimwangalia mbona umri wake ni mdogo sana ukilinganisha na cheo chake cha kijeshi? Mwenye cv yake naiomba
 
Usiichukulie poa Polisi Tanzania. Ni dubwana kubwa sana , sema tu mambo yao ndio yana lishusha hadhi
Ni kweli kabisa. Ni dubwana kubwa.
Baada ya army mutiny na attempted coups, wanasiasa wa enzi hizo waliwanunulia polisi silaha nzito ili wawe buffer zone in case of a coup.
Kuna jenerali mstaafu aliwahi kuniuliza siku moja baada ya mazungumzo marefu, kwanini polisi wana bunduki nzito vile! Wana anti-aircraft batteries! Yule mzee aliniambia.
 
Watu wanachukulia Polisi kawaida sana, Polisi ni kubwa sana na hata baadhi yao wanaona kama ingevunjwa vunjwa.. Rejea TISS , na kazi wanazo fanya TISS bado polisi wanazifanya isipokuwa baadhi ( mipaka ya kazi na sheria za miongozo ya kazi haziruhusu askaari polisi kuzifanya).
 
Back
Top Bottom