Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

Kama ikitokea Jenerali Mabeyo akaomba kupumzika basi mamlaka za uteuzi imwangalie Balozi wa Tanzania nchini Uturuki Luteni Jenerali Yacoub Hassan Mohamed kama Jenerali mpya
Alisha sitaafu tule kiutumishi
 
CDF anatakiwa mtu mtulivu katika Maamuzi. Kwa Upande wa Meja Jenerali Mzee aliyepo Magereza japo ni mtendaji mzuri lakini kwa nafasi ya CDF kwakweli hapana-weakness yake kubwa ana hemka sana/temper.

Meja jenerali Gaguti tabia za ujana zimemkamata sana bado tofauti na umri na rank yake.

Ukiuliza wajeda wenyewe wanasema wenye sifa kwa nafasi hiyo ni Mkingule, Simuli, Mkunda na Othman
 
Kwanza yacoub aliondolewa purposely, ni shemeji wa mwendazake.
Hata hivyo unatabiri ili iwe nini, akiwa ulomtabiri unapata nini na kwa faida ya nani.
 
Kuna mtu anaitwa Brigedia General Kadawi, huyu ndiye COS mpya, jamaa operations zilizotukuka
 
Humu watu hata protokali za jeshi hawazijui
Yani mtu ni brigedier general au major general awe cdf halafu aachwe lieutenant general?
Enzi za mwendazake ofcourse ingewezekana hata segeant kuwa cdf
Kwa major general kuwa cdf inawezekana kabisa kwani ni kitendo cha kumuondoa luteni jenerali na kumpamdisha Meja Jenerali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…