Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

Kama ikitokea Jenerali Mabeyo akaomba kupumzika basi mamlaka za uteuzi imwangalie Balozi wa Tanzania nchini Uturuki Luteni Jenerali Yacoub Hassan Mohamed kama Jenerali mpya
Alisha sitaafu tule kiutumishi
 
CDF anatakiwa mtu mtulivu katika Maamuzi. Kwa Upande wa Meja Jenerali Mzee aliyepo Magereza japo ni mtendaji mzuri lakini kwa nafasi ya CDF kwakweli hapana-weakness yake kubwa ana hemka sana/temper.

Meja jenerali Gaguti tabia za ujana zimemkamata sana bado tofauti na umri na rank yake.

Ukiuliza wajeda wenyewe wanasema wenye sifa kwa nafasi hiyo ni Mkingule, Simuli, Mkunda na Othman
 
Kufatia habari ya jana ya kustaafu kwa General Mabeyo ndani ya JWTZ, basi kama kawaida yetu sio mbaya tukafanya bashiri ya nani anaweza akawa CDF mpya.

Kwakuwa JF ni uwanja mpana, ina wadau wengi na wengine ni wa huko huko jikoni, sio mbaya tukapendekeza jina la CDF mpya kwa kuzingatia uweledi wake katika kuchapa kazi.

Mimi nampa nafasi kubwa Luteni Jenerali Mathew Mkingule kuwa CDF mpya.

Lakini pia kwenye korido anatajwa Luteni Jenerali Yakubu Mohamed balozi wa Tanzania nchini Uturuki.

Japo pia mzee wa infantry, Meja Jenerali Mwaisaka anapigiwa chapuo.

Vilevile, Meja Jenerali Rajab Mabele naye anaweza akawa CDF mzuri tu kwa utendaji wake mzuri wa kazi huko JKT.

Japo pia kuna minong'ono kuhusu Meja Jenerali Suleimani Mzee kufatia kazi ya kutukuka huko Magereza.

Ila watu wasimua-underrate Meja Jenerali Mbuge lolote linaweza kutokea. Japo kwasasa ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera.

Brigedia Jenerali J.J. Mwaseba mkuu wa chuo cha TMA naye anatajwa japo atakuwa yupo nyuma sana kwa rank kulinganisha na hao wenzake.

NB:
Uzi huu haumlengi kumpigia mtu yoyote promo!!

Viva JWTZ
Viva Tanzania
Kwanza yacoub aliondolewa purposely, ni shemeji wa mwendazake.
Hata hivyo unatabiri ili iwe nini, akiwa ulomtabiri unapata nini na kwa faida ya nani.
 
Kwa sisi tuliopitia JKT enzi hizo tunajua nafasi itaenda kwa Lt Gen. Mkingule ambaye ni C of S.... swali sasa ni nani atakua C of S baada ya Mkingule kua CDF jibu ni ngumu kidogo ila kuna Maj Gen. kibao ila wawili likely mmoja kutoka kanda ya ziwa na mwingine kutoka upande wa pili
Kuna mtu anaitwa Brigedia General Kadawi, huyu ndiye COS mpya, jamaa operations zilizotukuka
 
Humu watu hata protokali za jeshi hawazijui
Yani mtu ni brigedier general au major general awe cdf halafu aachwe lieutenant general?
Enzi za mwendazake ofcourse ingewezekana hata segeant kuwa cdf
Kwa major general kuwa cdf inawezekana kabisa kwani ni kitendo cha kumuondoa luteni jenerali na kumpamdisha Meja Jenerali
 
Back
Top Bottom