Nani anayemlazimisha Asharose Migiro kuvaa Mahijabu na Mabaibui? Ni kumkosea sana

Hijabu halazimishwi na mtu,yeye ni mwislamu na ndio unaomuongoza kuvaa hijabu ni agizo la Mungu kwa mwanamke mwislamu kuvaa kwa staha
Tangu utoto wake wake hajavaa, aje avae baada ya kupeo nafasi na Nzi wa kijani?
 
Bibi wa miaka 70, meanadiplomasia bobevu na aliyewahi kushika top top offices in the UN hawezi kulazimishwa kuvaa kwa namna fulani

While we are too deep in demonising everything, tupunguze kuzusha-zusha
 
Hili limama baada ya kuua raia wasiokuwa na hatia MO29 sasa limeanza kuingilia uhuru wa watu hadi kwenye mavazi. Mungu analiona; liuwaji likubwa ibilisi! Nyoooo!
 
Unafique ni kitu mbaya sana.
 
Kipi cha akabu? kwani samia alianza lini kuvaa hijabu? unajua kuwa alikuwa havai? na unajua lini alianza kuvaa,haya ni masuala ya imani ya mtu na Mungu wake
Ni udini kwenye Ofisi za Umma
 

Wakristo furaha yenu wanawake watembee uchi?
 
Wakristo furaha yao kubwa wanawake watembee uchi,wakijiifadhii vizuri wao kwao ni kero! Walahi ukristo sio dini hakyamungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…