Nani humu ana ujasiri wa kufanya hivi

Hivi ni kweli au igizo,huyo mpiga picha alijiaandaaje na tukio Hilo?
Mbona ni kawaida?
Huwa ipo hivi, magaidi waandaaji wa shambulizi huandaa yote hayo, atakayejitoa mhanga kwa kujilipua na atakayechukua video clip. Halafu baadaye wao hutoa taarifa ikiambatana na video kuwa wao ndiyo wanahusika
 
Aisee
 
Mbona Mzee wetu mwana historia mahiri hujamualika dimbani
 
Ndiyo sababu hata wakichinja watu huku wakitaja mungu wao, video clip zinapatikana kwani wahusika wa kuchinja wenyewe ndiyo huzisambaza
Technology inawaruhusu kuwafikia waliowakusudia kuwa-terrorize
 
Uzao wa Ishmael huu. Hasara tupu, bora Mzee Ibrahim angevaa ndom tu.
Hahaha. Kwani kipindi hiko zilikuwepo hizo? Dah! Hiyo ndo mojawapo ya hasara za kuendeleza michepuko. Ona sasa; Unaanzisha kizazi cha magaidi. Mzee Ibrahimu siku hiyo laiti angelijiendea shambani kulima ngano kuliko hicho alichofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…