muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Kama ni hao jamaa ngoja apate haki yake pambavu.Ofcourse ndiye kesi itakuwa ya hivyo hivyo sindio maana anaruka kimango anataka apigiwe simu mwengine ambaye ndio aliyetuma sms ya kiduanzi. Wameanza kumcharaza yeye kwanza
Ndio maana jamaa kasema wanakera sana na mchezo wao wa kitoto!
Hawa ni madalali, watakuwa wemepigana changa la macho ya poshoNi nani huyu anaepigwa hivi? Amekosa nini? Kwanini wenye kumpiga wanasema "atatuharibia kazi" kazi gani? Na ame' post neno "kimeumanaaa" wapi? Ndiyo kosa lake? Anaefahamu kisa hiki atusaidie, tufahamu. Namba za gari ni T 777 BWS.
View attachment 1849488
ukitaka kufungua picha ghafla unajikuta home pageHii hata kwangu ni hivohivo
Great job Sir!!!Nimemtambua mmoja, siyo wale wa central, ni idara nyingine
Kabisa yani ikifikia hali kama hii ni wazi kuna mabadiliko yanatakiwa kufanyika nchi hiiHayo ndiyo baadhi ya matokeo ya nchi kuongozwa bila katiba wala sheria.Hakuna alie salama.
wangemtafuta Rama ighondu amng'oe meno bila ganziOfcourse ndiye kesi itakuwa ya hivyo hivyo sindio maana anaruka kimango anataka apigiwe simu mwengine ambaye ndio aliyetuma sms ya kiduanzi. Wameanza kumcharaza yeye kwanza
Ndio maana jamaa kasema wanakera sana na mchezo wao wa kitoto!
Heheh kingeumanaje sasa! We mtu tatu unaweza zichapa mkono akiwemo mbavu😅 nene! Hapo utakula kisago kweli kweli maana ndio utakuwa umeuwasha motoUnakubalije kupigwa na raia wenzako kiboya hivyo, mimi kingeumana bora waniue lakini sio kukubali napigwa hivyo, tena watu wenyewe wachache hivyo.
ChromeUnatumia browser gani
Unahisi kufa ni kazi ngumu mkuu!!, unaamua tu upigwe au uuawe.Unakubalije kupigwa na raia wenzako kiboya hivyo, mimi kingeumana bora waniue lakini sio kukubali napigwa hivyo, tena watu wenyewe wachache hivyo.
Inakataaje sasaChrome
Chrome browser Yangu ni pre-installedInakataaje sasa
Dah kai reset kwenye setting clear cache na clear dataChrome browser Yangu ni pre-installed
Download Tu UC browser ili mambo yasiwe mengiDah kai reset kwenye setting clear cache na clear data
Mi natumia chrome mambo mswano kabisaDownload Tu UC browser ili mambo yasiwe mengi
Hatari mkuu.Sikio? Nga'ata jugura vein na ng'angania wakuulie hapo. Kama hujui jugula vein ninini google