Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

Pisto kidole ni noma sana mimi naburudika na Shisha wakaniletea Manjagu dawa yao ni mijeredi tu kama hivyo.
 
Ofcourse ndiye kesi itakuwa ya hivyo hivyo sindio maana anaruka kimango anataka apigiwe simu mwengine ambaye ndio aliyetuma sms ya kiduanzi. Wameanza kumcharaza yeye kwanza

Ndio maana jamaa kasema wanakera sana na mchezo wao wa kitoto!
wangemtafuta Rama ighondu amng'oe meno bila ganzi
 
Unakubalije kupigwa na raia wenzako kiboya hivyo, mimi kingeumana bora waniue lakini sio kukubali napigwa hivyo, tena watu wenyewe wachache hivyo.
Heheh kingeumanaje sasa! We mtu tatu unaweza zichapa mkono akiwemo mbavu😅 nene! Hapo utakula kisago kweli kweli maana ndio utakuwa umeuwasha moto
 
Unakubalije kupigwa na raia wenzako kiboya hivyo, mimi kingeumana bora waniue lakini sio kukubali napigwa hivyo, tena watu wenyewe wachache hivyo.
Unahisi kufa ni kazi ngumu mkuu!!, unaamua tu upigwe au uuawe.
 
NI KOSA KUBWA KUJIFANYA AU KUVAA KOFIA YA POLISU WETU WAAMINIFU,KUNA MAOVU MENGI SANA YANAYIFANYWA NA WATU WANAOJIFANYA KUWA NI POLISI,NASISI BILA KUTAFAKARI AU BILA KUJUA TUNAPELEKA MALALAMIKO YETU POLISI TUKIWATUHUMU BURE YOTE KWA SABABU YA WATU WA AINA HII
 
Hii video itawakosti hao jamaa wote hata kama ni mtuhumiwa kaiba
 
Back
Top Bottom