Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

Kajifanya polisi mpelelezi kumbe kibaka huyo mwindi hapo pembeni ana record hao wanaopiga ndio boss alitaka kutapeliwa sasa hao jamaa ni vijana tuu wa nyunbani kwa boss hapo kuna fundi magari na house boy na huyo mwingine ni mpambe wa boss na dereva

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hivyo basi waendelee kumfinya...

Toa hiyo waendelee weka waongeze.
 
Nyie mnaojidai sheria, natamani siku moja mkutane na hawa matapeli ndo mtaelewa.
Hivi unafikiri wananchi hawaelewi kwamba kuna sheria? Unampeleka kwenye sheria baada ya siku mbili unamkuta street na anaendelea kutapeli kama kawaida. Ndo maana wananchi wamechoka wameamua kupiga tu.
Nikupe mfano, mtaani kwetu kuna kijana mwizi anaiba wizi wa kuvunja milango mchana, watu wamepeleka polisi anafungwa anatoka na akirudi uraiani anendeleza wizi. Sasa kuna mwezi Rais SSH aliwaachia jamaa kurudi kavunja geto la mtu. Polisi wametupa ruhusa sasa hivi mkimuona ueni Tuje tuchukue maiti
 
Nimeona mahali fulani,mpigwaji mara nyingi hujifanya polisi na atakuwa amewaliza wengi hapo,akajipandisha na kujifanya anatoka intel ya polisi, wenyewe wakasikia na kuanza kumfuatilia na kuweka mtego,inawezekana chambo ilikuwa huyo mtu mwekundu aliyepo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…