Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

Nani huyu anayepigwa hivi? Amekosa nini? Au ndio wasiojulikana?

Ni nani huyu anaepigwa hivi? Amekosa nini? Kwanini wenye kumpiga wanasema "atatuharibia kazi" kazi gani? Na ame' post neno "kimeumanaaa" wapi? Ndiyo kosa lake? Anaefahamu kisa hiki atusaidie, tufahamu. Namba za gari ni T 777 BWS.

Hii si ni kama huyu jamaa ametekwa na anachezea kipigo, What if angezimia au kufariki si angeokotwa Msituni au kwenye Kiroba baharini?

Tunaiomba mamlaka (Najua wengine wanatusoma humu) ifuatilie tukio hili, kwa kweli Tanzania kuna sehemu si salama.


View attachment 1849488
Kajifanya polisi mpelelezi kumbe kibaka huyo mwindi hapo pembeni ana record hao wanaopiga ndio boss alitaka kutapeliwa sasa hao jamaa ni vijana tuu wa nyunbani kwa boss hapo kuna fundi magari na house boy na huyo mwingine ni mpambe wa boss na dereva

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kajifanya polisi mpelelezi kumbe kibaka huyo mwindi hapo pembeni ana record hao wanaopiga ndio boss alitaka kutapeliwa sasa hao jamaa ni vijana tuu wa nyunbani kwa boss hapo kuna fundi magari na house boy na huyo mwingine ni mpambe wa boss na dereva

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni hivyo basi waendelee kumfinya...

Toa hiyo waendelee weka waongeze.
 
Kwa vyovyote vile na kwa namna yoyote ile. Sheria zipo na mtu kama amekosea apelekwa sehemu inayostahili afungwe hata maisha kama ndivyo sheria ilivyo. Nadhani wengi hamjui madhara ya matendo ya vyombo vya sheria kufanya ukatili wa namna hii, no matter what he has done!
Nyie mnaojidai sheria, natamani siku moja mkutane na hawa matapeli ndo mtaelewa.
Hivi unafikiri wananchi hawaelewi kwamba kuna sheria? Unampeleka kwenye sheria baada ya siku mbili unamkuta street na anaendelea kutapeli kama kawaida. Ndo maana wananchi wamechoka wameamua kupiga tu.
Nikupe mfano, mtaani kwetu kuna kijana mwizi anaiba wizi wa kuvunja milango mchana, watu wamepeleka polisi anafungwa anatoka na akirudi uraiani anendeleza wizi. Sasa kuna mwezi Rais SSH aliwaachia jamaa kurudi kavunja geto la mtu. Polisi wametupa ruhusa sasa hivi mkimuona ueni Tuje tuchukue maiti
 
A250C7FF-131A-4050-B8BC-7A8C81900184.png
 
Nimeona mahali fulani,mpigwaji mara nyingi hujifanya polisi na atakuwa amewaliza wengi hapo,akajipandisha na kujifanya anatoka intel ya polisi, wenyewe wakasikia na kuanza kumfuatilia na kuweka mtego,inawezekana chambo ilikuwa huyo mtu mwekundu aliyepo hapo.
 
Back
Top Bottom