Nani kaiona chupa ikiwa kwenye makalio? Daktari kathibitisha? Wanasiasa kuweni makini na hila za mitandaoni

Ohoooooo ..Makonda ....😁😁😁
 
Hoja nyepesi sana, na swali jepesi sana, hivi mfano mtu akibakwa kinachoanza ni mhusika toa taarifa au Dactari kuanza kuchunguza bila hata jalada la mlalamikaji kufunguliwa kwenye vyombo husika?

Yan mtaalam wa afya aende kutibu au chunguza kitu ambacho vyombo vya dola havijatoa kibali mfano RAB, huna akili, na hii imeenda watz sio wajinga
 
Hapana. Nimesema daktari kapimq kakuta Kuna chupa iliingizwa makalioni? Au ni mbambamba za mitandaoni tu?
Title ya thread yako ndio I lini changanya kidogo. Sijasikia kama Daktari katoka ripoti yake, POLISI watatujuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…