Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kuwajibika au kuwajibishwa hakusubiri ukweli au uongo bali kulinda na kuhifadhi hadhi na weledi wa Taasisi ....Kwa maneno yako hayo, Rais Samia amefanya maamuzi ya kukurupuka baada ya kusikia maneno ya umbea mtaani? Kwamba serikali yake na vyombo vyake havina weledi hivyo havikumpa taarifa sahihi kabla ya kufanya maamuzi!!!
muhisika angekua yuko chonjo na ethics za political leadership hangekawia kuwajibika. Check watu makini the like of chongolo.....
Baba wa Taifa aliwahi kusema haiwezekani wewe ni mtumishi wa umma halafu tunaskia au tunakuona unarandanda mtaani huko na malaya halafu tukuache.....
Therefore,
Haijalishi ni kweli au si kweli, madhila tuhuma zina kuhusu wewe binafsi na sio jukumu ulilotumwa kufanya kwa maslahi mapana ya nchi alipaswa kuwajibika mwenyewe.
Kwasababu zinaweza kupaint Taasisi badly kwenye jamii bila sababu. Lazima uwajibike na ukichelewa unanawajibishwa....
Hakuna serikali inaweza kukumbatia tuhuma za uovu binafsi za mteule wake...
ukihamisha point nahama na wewe mpaka uelewa na ufaidike maana ya masomo yangu