Nani kasema Nguruwe halali? Sio Ukristo au Uislamu kote wamemkana.

Mokaze mpe zile nondo mi nimeishia hapo

Palipobaki malizia wewe.
 
Wakataze vijana aape zile hints za kuonesha wanavyoweza kuwa mashoga kwa ulaji wa nguruwe.

Kuwakataza liwe jukumu letu mimi na wewe kwasababu wewe nimeshakupa zile "hints" basi nisaidie hiyo kazi au hutaki thawabu kutoka kwa Mungu??🀣
 
Kuwakataza liwe jukumu letu mimi na wewe kwasababu wewe nimeshakupa zile "hints" basi nisaidie hiyo kazi au hutaki thawabu kutoka kwa Mungu??🀣
Vijana wamegoma kabisa kunielewa na tunakoelekea naona nitaenda kukosana nao inaonekana nimegusa sehemu nyeti ambayo wapo tayari kufanya chochote ikiwemo kuvunja hadi udugu
 
Wanyama madume kwa madume wanaofanya ushoga ni nguruwe na jamii ya nyani (Nyani, Kima, Ngedere, Mbega, Sokwe, Gorillas, orangutan, Rhesus, Capuchin nk), na imethibitika hata simba madume huwa wanafanyana mchezo huo ambapo kwa hao Simba tafiti inaonyesha kuwa katika eneo lao (territory) lazima kuwe na nguruwe pori wengi na hicho ndicho huwa chakula chao kikuu, hapo sasa unaweza kuona jinsi chakula kinavyoathiri tabia za mlaji.

Watu wa sayansi ya lishe (Nutritionists) wanasema; We are what we eat, yaani; Tabia, mienendo na afya zetu hutokana na vyakula tunavyokula.
Tabia ya nguruwe kupenda kulawitiana inaweza kuambukizwa kwa mlaji yeyote wa nyama ya nguruwe.

Na mashoga wengi wanaume (sio wote) ni watumiaji wakubwa wa kitimoto.
 
Vijana wamegoma kabisa kunielewa na tunakoelekea naona nitaenda kukosana nao inaonekana nimegusa sehemu nyeti ambayo wapo tayari kufanya chochote ikiwemo kuvunja hadi udugu

Kuvunja udugu kwa kumpendeza Mungu ni tukio adhimu sana, wewe komaa nao tu.🀣
 
Matendo ya Mitume 11 : 6-7 Chochote kilichoumbwa na Mungu usikiite najisi, ila najisi ni mnyama, ndege asiechinjwa kama utakula nguruwe asiechinjwa hapo umekula najisi haitakiwi.
 
Wanao kula matacle eti nao wana sema kitimoto haramu!
Acheni unafiki!
 
umechukua kiti umekaa unasubiri ubishane na watu kuhusu nguruweπŸ˜ŽπŸ˜›, mimi nakushauri wewe binafsi hakikisha unazingatia zile kanuni 10 za Mungu...mfano usiibe, usiue, usiseme uongo, waheshimu wazazi wako, wapende wengine, usizini na mwanamke asiye mkeo n.k....... hayo ya kula nguruwe achana nayo, hayo sio dhambi wewe tafuna hadi kwato za nguruwe na Mbinguni utaenda....ikitokea umeharisha itakuwa najisi kwako...ila kama haitakudhuru endelea kumla nguruwe...ni mtamu na anaongeza furaha ya moyo..utatoa makunyanzi usoni kwako...familia itakuwa na furaha. Tunaishi miaka michache duniani tuwe makini si kila kitu kitamu ukila ni dhambi...vingine sioπŸ˜›πŸ˜€
 
Subiri nifanye tafiti
 
Upo sahihi lakini sio kigezo cha ww kua shoga
 
woote wanamla wala sishangai biashara hii inayumba saana wakati wa mwezi wa toba ,,,,kwakuwa nusu ya population wanakuwa kwenye mfungo ,,,wewe mche mola wako achana na vyakula utamiza kichwa tuu bro.
 
woote wanamla wala sishangai biashara hii inayumba saana wakati wa mwezi wa toba ,,,,kwakuwa nusu ya population wanakuwa kwenye mfungo ,,,wewe mche mola wako achana na vyakula utamiza kichwa tuu bro.
Kila mtu atabeba msalaba wake
 
Mimi nimezaliwa nimekuta baba anafuga nguruwe. na mpaka Sasa Nina miaka arobaini. sijawai kuona hicho kitu ulicho andika eti nguruwe wanalawitiana Ni uongo mkubwa. Au wewe mwenzetu ulifuga nguruwe wa Aina gani?
 
Mshamba wewe na hujui kitu, madume ya nguruwe yakikaa pamoja huwa yanalawitiana, labda mlikuwa mmefuga dume moja na majike kadhaa.

Katika suala hilo uliza na usijifanye mbishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…