Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Amin Sheikh.
Hiyo pepo ikichunguzwa vizuri haiwezi kosa nguruwe
Kama pombe za huko ni tamu, basi Nguruwe wa huko watakuwa wale wanaocheua, wasafi afu wana kwato.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amin Sheikh.
SawaHiyo pepo ikichunguzwa bizuri haiwezi kosa nguruwe
Kama pombe za huko ni tamu, basi Nguruwe wa huko watakuwa wale wanaocheua, wasafi afu wana kwato.
Mokaze mpe zile nondo mi nimeishia hapoHakuna ushahidi wa kisayansi unaounga mkono madai kwamba kula nyama ya nguruwe husababisha ushoga. Ushoga ni hali ya kujamiiana kwa watu wa jinsia moja na inahusishwa na sababu nyingi za kisaikolojia, kijamii na kibaiolojia.
Watu hujamiiana kimapenzi kwa sababu za kibinafsi na za kitambulisho, na hakuna chakula au kitu kingine chochote kinachoweza kusababisha ushoga au kugeuza mtu kuwa shoga.
Ni muhimu kutambua kwamba kuna tofauti kati ya mtu kujamiiana kimapenzi na mtu kula chakula fulani. Kula nyama ya nguruwe hauna uhusiano wowote na upendeleo wa kijinsia.
Wakataze vijana aape zile hints za kuonesha wanavyoweza kuwa mashoga kwa ulaji wa nguruwe.
Vijana wamegoma kabisa kunielewa na tunakoelekea naona nitaenda kukosana nao inaonekana nimegusa sehemu nyeti ambayo wapo tayari kufanya chochote ikiwemo kuvunja hadi uduguKuwakataza liwe jukumu letu mimi na wewe kwasababu wewe nimeshakupa zile "hints" basi nisaidie hiyo kazi au hutaki thawabu kutoka kwa Mungu??🤣
Aya ngamia anatatizo gani
Hakuna ushahidi wa kisayansi unaounga mkono madai kwamba kula nyama ya nguruwe husababisha ushoga. Ushoga ni hali ya kujamiiana kwa watu wa jinsia moja na inahusishwa na sababu nyingi za kisaikolojia, kijamii na kibaiolojia.
Watu hujamiiana kimapenzi kwa sababu za kibinafsi na za kitambulisho, na hakuna chakula au kitu kingine chochote kinachoweza kusababisha ushoga au kugeuza mtu kuwa shoga.
Ni muhimu kutambua kwamba kuna tofauti kati ya mtu kujamiiana kimapenzi na mtu kula chakula fulani. Kula nyama ya nguruwe hauna uhusiano wowote na upendeleo wa kijinsia.
Vijana wamegoma kabisa kunielewa na tunakoelekea naona nitaenda kukosana nao inaonekana nimegusa sehemu nyeti ambayo wapo tayari kufanya chochote ikiwemo kuvunja hadi udugu
Ngoja ,niwawakilisheToa hoja sio ngonjera
Haki ya Mungu! madudu ya kisasa yamejaa tu mjini, hata ladha ni tofauti na yule OGHahaha mzee huwek kua serious kwmb kuna mdudu broiler
Ulichoandka hakijitoshelezi kuwa swaliNgoja ,niwawakilishe
Naanza na swali la kwanza ,
Unajua kwani Mungu alikataza ??
Subiri nifanye tafitiWanyama madume kwa madume wanaofanya ushoga ni nguruwe na jamii ya nyani (Nyani, Kima, Ngedere, Mbega, Sokwe, Gorillas, orangutan, Rhesus, Capuchin nk), na imethibitika hata simba madume huwa wanafanyana mchezo huo ambapo kwa hao Simba tafiti inaonyesha kuwa katika eneo lao (territory) lazima kuwe na nguruwe pori wengi na hicho ndicho huwa chakula chao kikuu, hapo sasa unaweza kuona jinsi chakula kinavyoathiri tabia za mlaji.
Watu wa sayansi ya lishe (Nutritionists) wanasema; We are what we eat, yaani; Tabia, mienendo na afya zetu hutokana na vyakula tunavyokula.
Tabia ya nguruwe kupenda kulawitiana inaweza kuambukizwa kwa mlaji yeyote wa nyama ya nguruwe.
Na mashoga wengi wanaume (sio wote) ni watumiaji wakubwa wa kitimoto.
Upo sahihi lakini sio kigezo cha ww kua shogaWanyama madume kwa madume wanaofanya ushoga ni nguruwe na jamii ya nyani (Nyani, Kima, Ngedere, Mbega, Sokwe, Gorillas, orangutan, Rhesus, Capuchin nk), na imethibitika hata simba madume huwa wanafanyana mchezo huo ambapo kwa hao Simba tafiti inaonyesha kuwa katika eneo lao (territory) lazima kuwe na nguruwe pori wengi na hicho ndicho huwa chakula chao kikuu, hapo sasa unaweza kuona jinsi chakula kinavyoathiri tabia za mlaji.
Watu wa sayansi ya lishe (Nutritionists) wanasema; We are what we eat, yaani; Tabia, mienendo na afya zetu hutokana na vyakula tunavyokula.
Tabia ya nguruwe kupenda kulawitiana inaweza kuambukizwa kwa mlaji yeyote wa nyama ya nguruwe.
Na mashoga wengi wanaume (sio wote) ni watumiaji wakubwa wa kitimoto.
woote wanamla wala sishangai biashara hii inayumba saana wakati wa mwezi wa toba ,,,,kwakuwa nusu ya population wanakuwa kwenye mfungo ,,,wewe mche mola wako achana na vyakula utamiza kichwa tuu bro.Katika dini ya Ukristo, maandiko matakatifu ya Biblia yanapinga ulaji wa nguruwe kwa sababu inachukuliwa kuwa ni mnyama najisi.
Hii inapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 11:7-8 ambapo inasema " Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi. .Hamtakula nyama yao, wala hamgusi mizoga yao. Hao ni najisi kwenu."
Pia, kuna vifungu vingine vinavyopinga ulaji wa nguruwe kama vile Kitabu cha Kumbukumbu la Torati 14:8 ambacho kinapinga ulaji wa nguruwe, na Matendo ya Mitume 15:28-29 ambayo yanahimiza waumini kuepuka kula nyama iliyotolewa kwa sanamu na damu.
Kwa upande wa Uislamu, Quran inapinga ulaji wa nguruwe na inachukuliwa kuwa ni haramu kwa Waislamu. Kifungu cha Quran Surat al-Baqarah 2:173 kinakataza ulaji wa nguruwe pamoja na nyama ya wanyama waliochinjwa kwa njia ya kuchinjwa bila kumtaja Mungu, damu, nyama ya wanyama wanaouliwa kwa sababu ya miungu, na wanyama waliofariki kwa kifo cha asili. Kwa hivyo, Waislamu wanachukulia ulaji wa nguruwe kama jambo la kinyume na mafundisho ya dini yao.
NB: TUJADILI KWA AYA NA VIFUNGO MBALIMBALI ZA VITABU MBALIMBALI VYA DINI NGOJERA HAZITAKIWI.
View attachment 2613342
Kila mtu atabeba msalaba wakewoote wanamla wala sishangai biashara hii inayumba saana wakati wa mwezi wa toba ,,,,kwakuwa nusu ya population wanakuwa kwenye mfungo ,,,wewe mche mola wako achana na vyakula utamiza kichwa tuu bro.
Mimi nimezaliwa nimekuta baba anafuga nguruwe. na mpaka Sasa Nina miaka arobaini. sijawai kuona hicho kitu ulicho andika eti nguruwe wanalawitiana Ni uongo mkubwa. Au wewe mwenzetu ulifuga nguruwe wa Aina gani?Wanyama madume kwa madume wanaofanya ushoga ni nguruwe na jamii ya nyani (Nyani, Kima, Ngedere, Mbega, Sokwe, Gorillas, orangutan, Rhesus, Capuchin nk), na imethibitika hata simba madume huwa wanafanyana mchezo huo ambapo kwa hao Simba tafiti inaonyesha kuwa katika eneo lao (territory) lazima kuwe na nguruwe pori wengi na hicho ndicho huwa chakula chao kikuu, hapo sasa unaweza kuona jinsi chakula kinavyoathiri tabia za mlaji.
Watu wa sayansi ya lishe (Nutritionists) wanasema; We are what we eat, yaani; Tabia, mienendo na afya zetu hutokana na vyakula tunavyokula.
Tabia ya nguruwe kupenda kulawitiana inaweza kuambukizwa kwa mlaji yeyote wa nyama ya nguruwe.
Na mashoga wengi wanaume (sio wote) ni watumiaji wakubwa wa kitimoto.
Mimi nimezaliwa nimekuta baba anafuga nguruwe. na mpaka Sasa Nina miaka arobaini. sijawai kuona hicho kitu ulicho andika eti nguruwe wanalawitiana Ni uongo mkubwa. Au wewe mwenzetu ulifuga nguruwe wa Aina gani?